Bwana yesu asifiwe, assalam aleykum

Bwana yesu asifiwe, assalam aleykum

babu loliondo

Member
Joined
May 23, 2011
Posts
7
Reaction score
2
Hodi hodi JF,

Kwanza niwapongeze kwa kazi nzito mnayoifanya ya kulijenga taifa letu bila kujali tofauti za kiitikadi na nyinginezo. Pili, naomba kuungana nanyi bega kwa bega ili hatimae tuweze kutoa michango yetu juu ya namna gani ya kufikia Tanzania ile ambayo kila mmoja wetu amekuwa akiitazamia yaani Tanzania yenye maendeleo endelevu.

Natumaini tutakuwa pamoja kwa hali na mali.

Naomba mnipokee.
 
Babuuuuuuuuuuuu!
Karibu sana babuuu!
Nina kila sababu ya kukupongeza kwa uamuzi wako wa kuja hapa!
Jiandae kujibu maswali ya Miss Judith!
 
Babuuuuuuuuuuuu!
Karibu sana babuuu!
Nina kila sababu ya kukupongeza kwa uamuzi wako wa kuja hapa!
Jiandae kujibu maswali ya Miss Judith!

PJ na Babu wako na interest, inashangaza kuona kuwa PJ hakuwa na habari kuwa Babu utajiunga JF (Jamii Faida)! Tehe teh
 
Babu karibu sana jamvini! Dawa nan anawapa wagonjwa kule?
 
Babu naona umehamishia kikombe JF, angalia tu uasije kuwa unachakachua hadi thread. Kikombe kifanye kazi wanamagamba wapone kwa jina la Yesu
 
Karibu jamvini. Ila ujiandae jamvi lina mambo.
 
Wakuu Asanteni kwa kunikaribisha, nitakuwa mchoyo wa shukurani kama nitakaa kimya bila kufanya hivi. Tuko pamoja wakuu. Nawakilisha Loliondo na waganga wengine wa dawa za mitishamba huku JF.
 
Babu wa loliondo nashangaa kukuta katika safi hii na hali tayari nakuchukulia ni member wa longi....Dah!

Haya karibu...
 
Nimechanganya data nishakumbuka... nimekufananisha na mzee wa loliondo... Sorry.
 
Back
Top Bottom