hey hey guuuuyz tsuup in here!!!

hey hey guuuuyz tsuup in here!!!

Welcome Lilo!
are you a Male or a female? unaongea kiswahili?
 
welcome buddy. Cheki kwenye fridge kama kuna kinnywani.
 
Sijaelewa ulichosema ila kwa kuwa thredi yako ipo kwenye utambulisho, naomba nikwambie karibu
 
Karibu jamvini. Jihadhari ukimwi unaua!!!
 
Karibu sana!!!

Jihadhari na E.COLI!!! Piga kiti moto tu, no salads!!!
 
Karibu sana!!!

Jihadhari na E.COLI!!! Piga kiti moto tu, no salads!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom