Death of President Laurent Kabila DRC

Nickbob

Member
Mar 24, 2011
73
12
utawala wa nchi yetu ni sawa na kifo cha laurent kabila former president of DRC?
kwani, mlinzi mkuu wa kabila ndio alie muua! nasi kinga yetu kuu (kiongozi) ndio inatumaliza amini, usiamini.
 
utawala wa nchi yetu ni sawa na kifo cha laurent kabila former president of DRC?
kwani, mlinzi mkuu wa kabila ndio alie muua! nasi kinga yetu kuu (kiongozi) ndio inatumaliza amini, usiamini.

Mkuu naona umeanza na hasira kidogo.Karibu.
 
Nimeona aljazeera leo inatisha sana hadi leo hawajuii kwa nini Kabila aliuawa na nani alitoa pesa kufanikisha na lengo lao nini hasa.....kuna jamaa mmoja ametajwa alikuwa karibu na msemaji mkuu wa kabila na upande jeshi na serikali.....hadi leo anashikiliwa gerezani...wako kama 22 hivi wanapata mateso makali sana sana wameweza kupata camera na kujirekodi maisha yao kila siku jamani hapana...kama kweli hawana ushahidi wangewaachia tu huru ule ni unyama kabisa........inasikitisha sana!!!
 
Back
Top Bottom