Msiba wa kusikitisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msiba wa kusikitisha

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Aine, May 13, 2011.

 1. A

  Aine JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli hata nashindwa jinsi ya kuanza inavyotia simanzi!!
  Kwa wale waliosoma Chuo cha Mzumbe miaka ya 2004, 2005, 2006, na miaka mingine na wote wenye mapenzi mema, kuna dada anaitwa MANSUETA MBENA alisoma LLB na kumaliza 2006, jana alinipigia simu amefiwa na mtoto wa dada yake, mkubwa tu amezalliwa 70's anaitwa Jenny kwamba amefariki juzi alikuwa anaumwa malaria. Sasa Mansu anafanya kazi mkoani, alipofika kwao tu akanipigia tena kwamba dada yake naye amefariki!!!!!! Yaani hadi mwili unataka kuganda, kwao ni Morogoro. Kwa hiyo kwao kuna misiba miwili na mazishi kwa marehemu wote ni kesho Jumamosi tarehe 14/5/2011 saa 9 alasiri .Wanakaa karibu na makaburi ya Kola na ukienda panda gari za Kilakala shuka kituo cha makaburi ya Kola kulia utaona watu wengi tu kwenye msiba. Jamani wale tulio karibu naomba tuende tukawafariji jamani maana misiba miwili si mchezo! Kweli Mungu AWAPE FARAJA YA PEKEE!!
   
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Poleni sana kwa msiba
   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  May 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Mmhhh
  poleni sana
  R. I. P Marehemu wote..
   
 4. A

  Aine JF-Expert Member

  #4
  May 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ahsante sana
   
 5. A

  Aine JF-Expert Member

  #5
  May 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ahsante sana
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  May 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Poleni sana wapendwa.
   
 7. A

  Aine JF-Expert Member

  #7
  May 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ahsante sana
   
 8. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #8
  May 17, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aine mie ndo naona leo huu msiba siku nyingine tangazo kama hili weka kule unapotembelea sana wewe kama ni siasa au international nk watu wengi wataona hapa ni wachache sana hupita nikiwemo mie nina miezi mitatu sijapita hapa.

  BTW poleni sana
   
 9. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #9
  May 17, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  poleni sana,.Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu.
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  May 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Mwenyezi Mungu awape imani na nguvu wafiwa... May the deceased R. I. P.
   
 11. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,228
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  Na ahimidiwe Mungu aliyetupa uhai na mtwaa uhai...Mungu awape faraja wafiwa na kuwapa marehemu pumziko la heri!
   
 12. A

  Aine JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Niliiandika tena kwenye jukwaa la hoja mchanganyiko na kuomba radhi kuwa nilipitiwa kuweka huku, ahsante kwa ushauri wako
   
 13. jockey emmanuel

  jockey emmanuel JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  poleni kwa msiba...MUNGU AWATIE NGUVU
   
 14. z

  zamlock JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  poleni sana jamani
   
 15. 4

  4 PRINCE Senior Member

  #15
  May 27, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ooh!yaani hata mie nimeshtuka,hakika ni msiba mkubwa sana.MUNGU awape roho ya uvumilivu hao ndugu zetu.tuzidi kuwaombea faraja.
   
 16. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #16
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,055
  Likes Received: 6,498
  Trophy Points: 280
  Pole Pole kazi ya MUNGU.
   
Loading...