Habari zenu vp wana jf?nafaham hapa kuna wa2 wengi ambao wanajua vi2 vng concerng computer..so as we cud share cuz maisha ndo haya!naomba kujua iv ni njia ipi inawawezesha ma operator kutrap modem...
Nimeingia rasmi jukwaani naomba mnipokee,nilikuwa nasuburi members wafike elfu arobaini..baada ya mimi kuingia wanakuja kama laki sasa,my take..mimi simo kwenye lile kundi.
Romance jina langu, JF nia yangu, GT watu wangu naomba mnipokee tena binti mnyenyekevu....
Nilipigwa burn ya maisha ila nimejirekebisha... teh teh teh
Kiss Kiss Kiss JF... Mwaaaaaaaaaaaah!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.