Ukifika sehemu ngeni tafuta kwanza wenyeji wakutamburishe yaani leo yamenikuta hapa hapa jamii forum baada ya kuchanganya maada eti maada kuhusu punyeto nimeiweka katika international forum dah...
Wandugu/dada, kwa heshima na taadhima nawasalimuni. Nimekuwa nikifuatalia forum hii na nimejifunza mengi. Hatimae nimeamua kujisajili rasmi kwa nia ya kubadilishana uzoefu. Naomba mnikubali kama...
wanaJF naitwa KipakaMwitu Napenda kujiintroduce kwenu,napenda sana forum ya uchumi na mabiziness, napenda jokes na malovee section! Natembelea tembelea maeneo ya habari mkorogo!,na kutia nanga...
Habari zenu wa Kina Kaka na Kina Dada Wakubwa na Wadogo Mie naomba kukaribia Jamvini japo niliingia kwa kupita Dirisha la Nyuma kama Bus la Mbagala nikaja kuona kuna sehemu ya kujitambulisha...
Ukifika sehemu ngeni tafuta kwanza wenyeji wakutamburishe yaani leo yamenikuta hapa hapa jamii forum baada ya kuchanganya maada eti maada kuhusu punyeto nimeiweka katika international forum dah...
I am a true revolutionist who believes in the right of free speech and freedom of expression. Especially the freedom to obtain information which is essential for intellectual growth.
I am so impressed by this forum. This is my first time to visit this web and i have proved that this is a place where people express
things openly, everything. i think i like this
Nimeamua kubadilisha jina baada ya kufika Jf senior member, tuendeleleze ushirikiano wa mwanzo, asanteni.
Naposema SACoNa;
namaanisha:
S=simple in
A=appiarance but
Co=complex in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.