hamjambo bhandugu

hamjambo bhandugu

umtwale

Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
52
Reaction score
3
nafurah kupata lungu la kuwanyoosha wote niliokuwa nikiwafuatilia wakat nipo nje_kuna watu ambao hawana manufaa kwa familia zao wala dunia_wangetaman dunian wao pekee _muda wote nÃ* hbr za ubaguz(din, rang, utaifa, kabila) _nimekuja kurekebishana
 
Karibu utumwagie mi thread ya nguvu. Ila sio lungu ni RUNGU.
 
Naona umekamia sana mkuu...angalia pumzi zisikuishie njiani.
karibu sana
 
Back
Top Bottom