Hello! JF nami naja nipokeeni

Zabron Erasto

Member
May 29, 2011
47
3
Great thinkers japo naja kwa kuchelewa nipokeeni ninayo machache yatafakarini, nami nijifunze mengi toka kwenu. May God bless you all.
 
Jaribu sana
lakini usije ukawa mamluki ya NAPE NNAUYE
maana wanaojiunga kuanzia mwezi wa nne mpaka wa sita wanatutia wasiwasi
Karibu sana
Soma kanuni na sheria taratibu,.
 
Unakaribishwa kwa mikono miwili. Jihadhari na lugha chafu.
 
karibu sana
tusaidiane kuwashughulikia mafisadi wa Tanzania
wasiolala kutwa kucha wanapanga jinsi ya kuiibia nchi na kutuacha hoi wanainchi
 
Great thinkers japo naja kwa kuchelewa nipokeeni ninayo machache yatafakarini, nami nijifunze mengi toka kwenu. May God bless you all.
Karibu lakini kama unajijuwa kwamba wewe ni MAMLUKI WA NN basi jiondoe mapema ila kama ni GT wa JF endela na kuchangia mada
 
Karibu lakini kama unajijuwa kwamba wewe ni MAMLUKI WA NN basi jiondoe mapema ila kama ni GT wa JF endela na kuchangia mada

ZE huna haja ya kuruhusu mapovu yakutoke. Read between the lines!!!

Karibu mkuu!!:madgrin:
 
Back
Top Bottom