Hodi! Hodi Mpaka ndani. Wenyeji mpoo!!!!

MCHONGANISHI

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2011
Posts
372
Reaction score
364
jamani hodi wanajamvi na mimi nimejiunga niweze kufaidi ya humu nimechoka kusoma tu maoni ya watu baada ya kutafakari na mimi nisiwe nyuma tuchangie mawazo tuendeleze mbele gurudumu la maendeleo pamoja na kuburudika pamoja wana JF wenzangu
 
Ahahahahaaah!!! Majina mengine bwana eti mchonganishi, karibu sana...
 
jamani hodi wanajamvi na mimi nimejiunga niweze kufaidi ya humu nimechoka kusoma tu maoni ya watu baada ya kutafakari na mimi nisiwe nyuma tuchangie mawazo tuendeleze mbele gurudumu la maendeleo pamoja na kuburudika pamoja wana JF wenzangu

karibu sama Mchonganishi,................upo matejoooooo ya juu au ya chini................................
 
karibu ili mradi usinichonganishe
 
Back
Top Bottom