Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Asante Rayvanny kwa kunifumbua macho. Ila yaliyomo yamo kweli shogaangu Donatila ? Mbona haijajichora?
4 Reactions
44 Replies
10K Views
Wakuu nawasilimieni nyote, Moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, Nimejaribu kabla ya ku-post uzi huu kuona kama kuna uzi ulishawisilishwa humu wa namna/njia/dawa/mafuta maalum yasiyo na...
0 Reactions
19 Replies
73K Views
Mtindo mpya wa kuacha ndevu zilizo na mvi 'ulioibuliwa' na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe umeonekana kupata wafuasi baada ya Mbunge wa Rombo Joseph Selasini kuonekana katika mtindo...
2 Reactions
14 Replies
9K Views
Kuna wadada mpaka leo wanaamini kua sisi wanawake tunaweza kufanya kila kitu wanaume wanafanya, My dear wewe unaweza kuvaa nguo ya ndani moja kwa wiki nzima? Tukubali tu vitu vingine ni wao tu...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Jamani hili suala najiulizaga kila siku Sijawahi kumuona mwanamke mwemba amejifunga kanga ila leo nimemuuliza rafiki yangu hili swali amesema kuwa wanaogopa eti wataonekana kama wana mguu mmoja...
2 Reactions
77 Replies
10K Views
Naomba mnisaidie dawa yakuondoa chunus ndogondogo juu ya uso Nitumie nn au dawa gani ili zikauke
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wale wanaopiga mswaki nje ya nyumba hasa wanaume tena kandokando ya njia huku wamevaa vibukta vifupi vimeishia kwenye mapaja na tumbo wazi sio ustaarabu.
7 Reactions
71 Replies
7K Views
Jana kwenye msiba wa Masogange (R.I.P) nilipata kuwaona wasanii wengi wakiwa nje ya studio za kufanyia shooting. Wengi walikuwa na muonekano wao wa asili usioboostiwa na make ups. Wengi kwa kweli...
4 Reactions
33 Replies
47K Views
Naomba mwenye ufaham mzuri wa list kamili ya vifaa kukamilisha salun ya kike anisadie. Nikijua bei ya kila kimoja kwa dar, zanzibar au mwanza nitashukuru.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana tulikuwa tunamzika brother Kizzo. Huyu jamaa alikuwa mtu wa watu kweli kweli. Katika umri wake aliyeishi duniani amegusa watu wengi waliokuwepo msibani watanielewa. Kila aliyesimama alisema...
28 Reactions
135 Replies
63K Views
Ivi zamani kidogo wanawake walikua wakivaa idadi ya nguo zisizopungua tano yaani sidiria, blause,chupi,underskirt, na skirt yenyewe ila sikuiz kuna wakati zinavaliwa nguo tatu chupi,suruali na...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Wadau habari zenu, Naomba msaada kwa anaejua lotion/mafuta yatakayomfaa mwanaume ambae anaishi sehemu zenye baridi, maana hufifia sana rangi na kubadilika kuwa mweusi sana sehemu zilizo wazi(usoni...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Niliona juzi vijana wakitetea bwana mdogo mmoja ambae inasemekana ana miaka 20 aliepiga picha na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, dogo ana mwili mkubwa na amenenepeana sana. Watu wakawa wanasema...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Habar zenu wapendwa naomba mnisaidie dawa ya kujaza nywele na kuzuia kukatika
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari yenu wana jamii forum nina dada yangu amenunua kipodozi hiki na hajui kama ni salama au lah na je kinaweza kikuwa na viambata hatati ? ntakuwa mwenye shukran kwa kijuzwa
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Tukubali au tukatae lakini ukweli utabaki kuwa pale pale. Wadada wote wenye nywele za bandia wana asili ya uchafu narudia asili ya uchafu. Nasema ni wachafu kwasababu nnapokwenda kuoga maji na...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Wanajukwaa kama mada inavyojieleza hapo juu mimi ni mama wa makamo( miaka 35) nimejishangaa ghafla nimebadilika umbo langu bila kutegemea nilikuwa na umbo zuri kwa kweli sikuwa na tumbo kabisa...
4 Reactions
51 Replies
11K Views
Habari, Jamani nawakumbusha wanaume kuoga mvua isiwe kikwazo cha nyie kutokuoga, ikaja kuwa kivumbi huku maofisini kwa harufu za perfume zilizochanganyika na kutokuoga. Yes i know wengi mta-take...
5 Reactions
163 Replies
54K Views
1. Muungwana wa sasa usali na kuamini MUNGU yupo. Kama sote tujuavyo MUNGU ndio kila kitu kwenye maisha yetu ya kila siku kwani tunapewa pumzi bure na pia anatulinda na maadui tunaowafaham na...
23 Reactions
40 Replies
13K Views
Niliwahi Kuwa mnene hadi nikawa najikatia tamaa jinsi nilivyo,unene usikie kwa jirani unachosha sana,kilo zangu hazikuwa chini ya kg120. Sasa hivi nina kg70 kama unapiga gym na wewe ni mnene...
14 Reactions
128 Replies
16K Views
Back
Top Bottom