Huu ni uchocheziKuna wadada mpaka leo wanaamini kua sisi wanawake tunaweza kufanya kila kitu wanaume wanafanya,
My dear wewe unaweza kuvaa nguo ya ndani moja kwa wiki nzima?
Tukubali tu vitu vingine ni wao tu wanaweza!
Wenzio walikuja kutafuta umaarufu waulize wako wapi; miss Natafuta, lala1, masai dada kwa kutaja wachache..! Tabia zako za kidangaji zitakuponzaKuna wadada mpaka leo wanaamini kua sisi wanawake tunaweza kufanya kila kitu wanaume wanafanya,
My dear wewe unaweza kuvaa nguo ya ndani moja kwa wiki nzima?
Tukubali tu vitu vingine ni wao tu wanaweza!
wewe mdada unawakomalia sana wanaume, wamekukosea nn! hujui wengine ni baba zako????Kuna wadada mpaka leo wanaamini kua sisi wanawake tunaweza kufanya kila kitu wanaume wanafanya,
My dear wewe unaweza kuvaa nguo ya ndani moja kwa wiki nzima?
Tukubali tu vitu vingine ni wao tu wanaweza!
Kweli mkuu maana huyu dada ametuganda sana yaani mmmmhStress zako za kutokuolewa usituletee hapa..
ha ha ha haUsitupande vichwani tafadhali! Mwanaume wa kweli hawezi kubadilisha boxer kila siku
Thread zako ni kutuatack tuHa ha ha, kuna series fulani naiona kwako...
Looks like you were so so mistreated, so sorry for you.
We sometimes go through those situations, we only differ how we carry ourselves during the period.
Sometimes we play by ourselves thinking that abusing our Xs will relieve us from the stresses and our downs, the truth is it keeps dragging us down.
Don't dig yourself too much a hole, so that you easily get out when time is due.