Wanaume nawakumbusha kuoga kipindi hiki cha mvua

Mambembe

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
2,215
2,958
Habari,
Jamani nawakumbusha wanaume kuoga mvua isiwe kikwazo cha nyie kutokuoga, ikaja kuwa kivumbi huku maofisini kwa harufu za perfume zilizochanganyika na kutokuoga.

Yes i know wengi mta-take advantage ya kuoga jana but please ogeni ndo mje maofisini.

Sitaki ubishi coz im sure 60% hamjaoga leo. Wadada leo msikubali kukumbatiwa hovyo manake najua leo Jumatatu wanajifanyaga kuhug hug kisa it was weekend hamjaonana.

Mambembe the unstoppable
Queen off all weather
 


Umekumbusha jambo la maana sana lakini uogaji wa hichi kipindi lazima kutumia formular maalumu
Screenshot_2018-04-15-22-04-21.jpg
 
Kwani nini kinachosumbua kuoga mpk iwe issue mrembo..??? Mbona hili sio baridi..?? Niliwahi kusoma Mbeya na nilikuw naoga, hichi kimvua ndo unaona baridi...??
Wanaume wa dar huwajui eehee??kuanziaa 35s wanaogaaa ila chini ya hapo ni ma spray tu mpkaa mahood ilimradi asiogee
 
Back
Top Bottom