Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Habari wadau, poleni na majukumu ya siku nzima. Naomba kujuzwa juu ya hizi nywele za kipilipili. Je zinakuwa za kurithi(zipo katika genes zetu)? au lah. nimeuliza hivyo kwa sababu binti yangu (2...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
FAshenista wanaiita LBD(Little black dress) mwanamke yyt anayependa kwenda na wakati lazima awe na gauni nyeusi kwenye wardrobe yake! Gauni jeusi huweza kuvaliwa popote pale,sio kila mtoko...
11 Reactions
17 Replies
5K Views
Kwenye matukio maalum watu wanpenda kupendeza, wanapenda waonekane wamependeza mara nyingi watu hupendelea kuvaa vazi la suti ili kupendezesha zaidi muonekano wao. Lakini suti sio vazi...
2 Reactions
11 Replies
7K Views
Je wajua kuwa licha ya kuwa manukato/uturi, pafyumu (perfumes) zina faida kadhaa kimwili ikiwa ni pamoja na tiba? Fahamu faida 8 za pafyumu 1. Ni tiba ya kutumia harufu (aromatherapy) 2. Harufu...
2 Reactions
5 Replies
6K Views
Wewe Dada wa Oriflame vipi jamani, kwani hayo matangazo yako ya Oriflame huwezi kuyaweka kwenye Uzi mmoja?? Chaaa Kwa taarifa yako hata kama mtu angesoma hasomi sasa, nani anamuda wa kufungua...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Jaman eehee, leo jumapili ndo siku ya kufanya maandalizi ya kesho jumatatu sio muda wa kuzungukaa mji mzima, Basi jaman mkumbukeni kufuaa vijupi na visidiria kwa wanawake wennzangu na wale wavaa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
kwa wale warembo wa kwenda na wakati kazi kwenu tukutane 26.04
4 Reactions
50 Replies
4K Views
Salamu wanajukwaa, Husiana na kichwa cha habari husika ningependa mawazo yenu katika jambo hili. Zawadi ni kwa ajili ya mzee wa makamo.
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kina dada naombeni msaada wenu, chupi nzuri za kike za pamba nazipata wapi hapa mjini Daslam. Nataka kumnunulia mpenzi wangu chupi nzuri na bora kabisa ziwe zinanitunzia asali yangu...
5 Reactions
177 Replies
25K Views
Swali la kizushi hivi imetokea umevaa underwear, unataka kwenda mahali ukajicheki kwenye kioo ukaona haijakupendeza ukaivua je utaiweka kwenye underwear safi au itabidi uifue kwanza?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Unawezaje kumfanyia mtu makeup ya hovyo hovyo kwenye harusi yake jamani siku muhimu ambayo anatakiwa kupendezaa haswaaaa hadi muoaji akimuona anamsahau Mabibi harusi weusi mnawakoseaga sana...
1 Reactions
64 Replies
18K Views
Habari za muda huu wapendwa... Kuna tatizo la sasa la wanawake baada ya kujifungua tu, utakuta mtu anafumuka kama anakula amira. Mwaka jana mwezi wa 1 nilibahatika kupata baby boy lakini kwa njia...
11 Reactions
95 Replies
12K Views
Je mazoezi haya wakati wa kufanya unatakiwa tumbo liwe limerelax umeliachia au umekaza tumbo?
1 Reactions
52 Replies
14K Views
Nyakati za leo ambapo uvaaji chupi kwa wanaume na wanawake uko juu sana kuanzia watu tunapokuwa watoto wadogo hali ya Afya ya viungo vya uzazi imeendelea kuwa mbaya sana. Yafuatayo ni baadhi ya...
14 Reactions
138 Replies
33K Views
Habari wapendwa, Kuna huu mtindo nauona kwa watu wa mjini Dar wakiongozwa na wasanii kuvaa miwani ya jua usiku tena hata kwenye kumbi za starehe na club. Je ni ujanja au ulimbukeni nisaidieni...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
*QUALITY ASSURANCE DRESS CODE FOR MEN* Looking good is very important but how many men actually know what it takes to look good *Here are 18 style rules every man should live by* 1. Your belt...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Huwa najiuliza wanawezaje? Wakati wa ujauzito mwili upo vile vile, akijifungua mwili upo vile vile, je hawali sana? Kama hawali mtoto anapaje maziwa? Mfano Hamisa mobeto, napenda jinsi...
7 Reactions
100 Replies
15K Views
Kinadada wengi huangaika mara kwa mara kwa lengo la kuhitaji kuwa na nywele nzuri zenye muonekano mzuri kila siku, lakini kwa bahati mbaya sana si wote wanabahatika kufanikiwa kuwa na nywele hizo...
2 Reactions
1 Replies
6K Views
Hivi wakina dada hizo lipstick huwa zina nini aisee maana tukiwakiss huwa tunahara kweli, yaani unakuta bidada kajikandika lipstick kama karai la kuchamganyia udongo mfinyanzi! Utasikia Just kiss...
12 Reactions
59 Replies
6K Views
Back
Top Bottom