Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Kufuga hizi nywele yataka moyo kwelikweli. Zinakera na kuujaza moyo hasira unakuwa mtu wa stress pasipokuwa sababu! Kibaya zaidi huwezi kugundua kwamba ndizo zinazokupa stress hadi siku ukinyoa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nafikiri kwa kifupi tu. Naambiwa akina dada miili yao ni sensitive yaani ukimgusa mdada hasa sehemu fulani za maungio ni rahisi kupandwa na ashki.. SASA SWALI LA KUJIULIZA... Hivi ni kwanini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mke wangu ana vipele vingi usoni na ameshauriwa na wingi atumie sabuni ya zoazoa. Wasiwasi wangu ni isije ikamchubua akaanza kuwa mweupe. Wadau, kabla hajaanza kuitumia ningependa kujua kama hii...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Wanawake wanapata tabu sana kujikubali miili yao mpaka kuingia katika vishawishi vya kutumia dawa za kichina au kwa wenzetu nchi zilizoendelea kama marekani hufanyiwa operesheni au surgery...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Shostito kapita hapa yaani hata hamu ya kumwangalia imekatika gafulaa...perfume ya leo in harufu ka ya mkojo..full kichefu chefu NB: Jifunzeni kuchagua perfume, perfume sio nzuri ka wewe...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Hupunguza nguvu zakiume kwa kiasi kikubwa ........ Soma kwa umakini point number 5 iko ktk red ink Now read this 14 ways to naturally Increase your testosterone 1. Get more Zinc Zinc is...
0 Reactions
19 Replies
9K Views
Visit: YNS.apg-ea.com Call: 0736 937 937 We are offering short courses and workshops in Fashion Design, led by Yvonne Njau. Yvonne is a Tanzanian Fashion Designer studying in IFA Paris, France...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima wakuu, Nachukua nafasi hii kuwashukuru wale wote waliacha kuvaa vimawigi. Kwanza mlikuwa hampendezi, hata sijui nani alikuwa kawafundisha. Baada ya kuachana na mawigi, wengi huwa...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Huyu jamaa amekuwa anakosoa uvaaji wa wenzie yeye anaita dhambi za "fashiooone" ilihali hata yeye uvaaji wake naona kama una tatizo.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimetokea kuwa mpenzi sana wa kupiga dongo...kupiga kipara..kunyoa kipara. Na hii ilitokea baada ya kugundua kuwa kuna vitu flani vya kijinga ila vinavutia sana na sana sana upande wa akina dada...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Kwa nini waafrika wanajibadilisha rangi? Mitindo ingekuwa na maendeleo kiasi gani bila uwepo utumwa na ukoloni? Katika mfululizo wa Barua kutoka kwa Waandishi wa habari wa Afrika, Mwandishi na...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
BAADHI ya wanaume nchini wanatajwa kuwa kichocheo cha wanawake kutumia vipodozi vyenye viambata vya sumu ambavyo vimekuwa vikiwapa madhara ya ngozi. Hayo yalielezwa Dodoma jana na Meneja wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kiatu cha OXFORD (the oxford shoes) ni viatu ambavyo vimetokea kupendwa dunia nzima , vikitofautina kidogo na DERBY SHOES . Sehemu ya kwanza kuonekana aina hii ya viatu ni Scotland na Ireland ...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba msaada wa kuelimishwa juu ya namna ya kuondoa kovu kwenye paji la uso kwa mtu ambae aliwekewa akiwa mdogo, kovu linakua kama jinsi ilivyo ndonya (shilingi) au kama wanavyowekewa kabila la...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale ote wenye nywele za singa,tumeane dondoo jinsi ya kuzitunza kama mafuta na mengine mengi ili ziwe za kuvutia zaidi. Nawasilisha
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Check Hi Style Noma
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Wadau hili ni swali linalonifikirisha sana Naomba mnisaidie wajuvi Zile zipu za mbele kwenye suruari za kike waga ni za kutolea nini?
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Wadau! Naomba kujua ni perfumes gani nzuri za bei kuanzia 15000-30000, yawe produced in Europe not Asia.
0 Reactions
19 Replies
25K Views
Napenda kutumia nafasi hii kuwapa salam wote ninyi wahangaikaji ndani ya uzini huu special ,asallam,samahani naomba aliye na ujuz wa wakurefusha ndevu.ziwe ndefuu na Nene nyeusi tafadhil sana...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Back
Top Bottom