Kuna demu wangu amenitaka nipake make up kwenye birthday yangu, mimi nimekataa Sasa amenuna anasema mimi ni mshamba, mimi kupaka make up huwa naona kama ushoga hivi, hivi ni kwangu peke angu au...
Kuna haya mapenzi mubashara ya mume na mke. Au hata wapenzi, sanasana wale wanaokaa nyumba moja hupendelea kuchaguliana nguo ya kuvaa kwa ajili ya kazini, kusafiri, mitoko ya jioni.
Kuna...
=> Vyakula unavyokula hubeba 80% ya mapambano ya kupunguza uzito. Kula vyakula vya wanga kama viazi, wali na ugali siku ambazo utafanya kazi au mazoezi magumu tu ili kutoongeza uzito/unene.
=>...
Sirudii tena huu upuuzi. Kwa mara ya kwanza tangu niijue hii dunia leo ndio nimefanya scrubb. Leo jioni niliingia saloon sijui mnaita baba shop nilienda kwa ajili ya kutengeneza nywele na ndevu...
Lijitu zima kabisa linatoka kwake Mkewe na Watoto wake wanamuona kabisa jinsi alivyounyuka / alivyopendeza na Vazi lenye ' heshima ' kubwa duniani na nahisi hata huko Mbinguni pia la ' Suti '...
Wasalaam, kutokwa na jasho ni kitendo cha kiafya ila ikizidi inageuka kero na kukosesha amani.
Huwa najisikia ovyo sana kuona nguo yangu imeloa jasho sehemu ya kwapani kwa jua la sasa yani nguo...
Historia ya kupaka rangi kwenye midomo kwa kusudi la urembo inaonyesha kuwa jambo hili lilianza zamani sana na inasemekana kuwa lilianzia huko Misri.
Wanawake wa Kimisri wakati huo walikuwa...
Kuna boss wangu wa kike ni rafiki yangu kiaina, ana roho nzuri sana na tunaelewana sana kiaina.
Alisafiri siku zilizopita kuna mtu akawa amepitisha chupi anauza nikamnunulia nae za kutosha jana...
Habari za mda huu sasa kuna ttz moja huwa linanisumbua nywele zangu hazikui kabsa yaaani lkn nimejrb kutmia dawa ya kuza bado ziko hivyo hivyo ombi langu kwenu kama kuna mtu anajua dawa nyngn za...
Kuna maelfu ya perfume madukani, lakini sio perfume zote ni nzuri kwa kila mtu, kwa hiyo ni muhimu kuchagua perfume ambayo itamfaa mtumiaji ili kuepuka disappointment.
Perfume unapoinusa...
Mahitaji
Mchele nusu kikombe
Nyanya moja
Baking powder
Saga mchele upate unga ,changanya na vijiko viwili vya baking powder ponda nyanya nayo changanya huo mchanganyiko jipake kwenye kwapa...
Nataka kubuild body bt naanza na juu kwanza,lakini watu wanantisha niongeze ratiba ya mlo,eti wale mabode byulda msaada plz...,na ukiweka na aina ya zoezi la kupiga sio mbaya,na mda wa kuona...
Salaaam
Moja kwa moja kilicho nifanya niandike Uzi huu
Ni hii hali au tabia ya wadada wanao tumia mikorogo yaan mafuta ya kujichubua ngozi
Unakuta mdada alikua mweusi Kama chungu cha maharage...
Tui la nazi lina protini na mafuta ambayo vitasaidia kope zako kukua na kuwa ngumu zaidi. Matumizi ya mara kwa mara ya tui la yatasaidia ku-nourish na condition kope zako.
Weka tui la nazi katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.