Kwa wadada: Ikiwa hauna nywele zako za asili wewe ni mchafu

Shida na raha

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
3,774
3,460
Tukubali au tukatae lakini ukweli utabaki kuwa pale pale.
Wadada wote wenye nywele za bandia wana asili ya uchafu narudia asili ya uchafu. Nasema ni wachafu kwasababu nnapokwenda kuoga maji na sabuni hamjipaki kichwani mnatunukisha uvundo.
Hata mjae hasira vipi nitasema mpaka kufa kwangu, kasoro lazima niziseme.

Wanaume wenzangu fanyeni utafiti, mchukuwe mdada mwenye nywele za bandia mkimaliza Ku do nenda nae pamoja bafuni mkaoge, ila tahadhari ukitaka akuchukie mmwagie maji kichwani kama nasema uongo muje munisute hapa.
Napenda mwanamke mwenye nywele zake za asili kwakweli zinanivutia sana hadi raha.

Nywele zenyewe zinakaa kichwani wiki moja mpaka mbili kwanini zisitowe harufu???
Na harufu yake utafikiri pamepita gari la taka mmmh?!
Kwa leo niishie hapo maana naona watanijia vibaya.
Omo inaruhusiwa.
 
Hata ukiwa na nywele zako wenywe, zikiwa ndefu huwezi kuosha kila siku mkuu,,, basi tuseme wadada wote wachafu
 
Tukubali au tukatae lakini ukweli utabaki kuwa pale pale.
Wadada wote wenye nywele za bandia wana asili ya uchafu narudia asili ya uchafu. Nasema ni wachafu kwasababu nnapokwenda kuoga maji na sabuni hamjipaki kichwani mnatunukisha uvundo.
Hata mjae hasira vipi nitasema mpaka kufa kwangu, kasoro lazima niziseme.

Wanaume wenzangu fanyeni utafiti, mchukuwe mdada mwenye nywele za bandia mkimaliza Ku do nenda nae pamoja bafuni mkaoge, ila tahadhari ukitaka akuchukie mmwagie maji kichwani kama nasema uongo muje munisute hapa.
Napenda mwanamke mwenye nywele zake za asili kwakweli zinanivutia sana hadi raha.

Nywele zenyewe zinakaa kichwani wiki moja mpaka mbili kwanini zisitowe harufu???
Na harufu yake utafikiri pamepita gari la taka mmmh?!
Kwa leo niishie hapo maana naona watanijia vibaya.
Omo inaruhusiwa.
Mkuu vipi mama yako na dada zako vipi hawavai hayo madude?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom