Unene uliopitiliza ni jambo la kujitakia

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,906
Niliona juzi vijana wakitetea bwana mdogo mmoja ambae inasemekana ana miaka 20 aliepiga picha na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, dogo ana mwili mkubwa na amenenepeana sana.

Watu wakawa wanasema unene mwingine ni genetic disorder.

Lakini ukweli ni kua unene mwingi tunajitakia tu na wala sio mambo ya genetic disorder.

Angalia hizi picha za Rick Rose the Boss. Tuwe na nidhamu kwenye kula na kunywa. Kitu pekee kinachoweza kusababisha ukapungua ni chakula. Kama hujadhibiti ulaji hata ukimbie hadi Mwanza hakuna kitu.

rick-ross.jpg
0c23b374-809a-403e-ba00-a39217b639dc.jpeg
RickRoss_Fat1-768x783.png
images.jpeg
rick-ross-weight-loss-credit-abc-news-e1473879477249.jpg
 

Attachments

  • IMG-20180417-WA0001.jpg
    IMG-20180417-WA0001.jpg
    71.1 KB · Views: 117
Unene mwingine ni asili kama ilivyo wembamba wengine wasivyo weza nenepa
 
Pia ukisema usile bado sio suluhisho zaidi unajitafutia magonjwa kwakutokula vzr.ukifanya mazoezi sio lazima upungue
 
Ni kweli ila huyo Rick alifanyiwa surgery ya kuondoa hayo mafuta, sio kwamba alipungua kwa diet
 
Back
Top Bottom