Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
I hav my new fashion brand anda i need sponsor
0 Reactions
1 Replies
795 Views
Habarini wana JF Naombeni mnijuze ni mafuta yapi mazuri kwa mwanaume mwenye nywele fupi tu za wastani. Yapi yanapendezesha nywele na kuzifanya ziwe nadhifu na za kuvutia?
0 Reactions
63 Replies
38K Views
Nawasalimu kwa mara nyingine tena wana JamiiForums, Mimi ni kijana wa miaka 20 lakini mpaka sasa nimepata ndevu za kawaida (kidevuni) lakini mimi napenda sana Mustachi (za mashavuni) maarufu kama...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wakuu kma title inavyosema je kuna yeyote kwenye jukwaa hili anafaham wapi naweza kupata hiyo sabuni ya sea of spa kwa hapa dar anisadie kunijuza maana ndio pekee ilinisaidia...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa na ombeni kujuzwa hichi kitu lakini na tumaini majimbu mengi yata toka sana upande wa ke..naomben kujua kazi ya cream mbalimbali zinazo patikana maduka ya vipodozi..na kwann...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za leo Tuende moja kwa moja kwenye hii mada fupi Sipendi kuona wanawake wenzangu wakijichubua (japo na wanaume wengi nao wanashika kasi) Ila siwez kulaumu hata siku moja kwanini...
5 Reactions
26 Replies
14K Views
Kila kitu huwa kinafanyika kwa sababu maalum Unajibu gani kulingana na hii mada? Tushirikishane
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Wakat flan nawaza nasema labda ndo uzee nao unakuja kwa speed ya 4G. Maana kuna vitu mi vilinishinda toka niko mdogo. Nmekutana na jamaa mmoja kavaa nguo zake ni nzuri tu zingeweza mpendeza. Ila...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu. Sio kila aina ya nguo inamfaa kila mtu, kuna mawazi ya yanawafaa watu wenye maumbile flani na mengine hayawafai watu wenye maumbile flani. Wanaume warefu kaptula hazitufai, hizi zinawafaa...
9 Reactions
57 Replies
10K Views
kama kichwa cha mada kinavyojieleza je ni kipi hasa humpendezesha mtu? je? uzuri upo kwa mtu? nikiwa na maana kuna watu wazuri zaidi ya wengine? kama ndivyo ni kwanini kuna dhana ya mtu kupendeza...
0 Reactions
39 Replies
7K Views
Kuongezeka kwa wanaume wanaofanya scrub, mask, wanaoweka wave ni kihashiria tosha sasa wanawake wamepata washindani. Sijambo lakushangaza kumkuta mtoto wa kiume, mwanaume amevaa jeans iliyobana...
7 Reactions
124 Replies
13K Views
Habari za jioni wapendwa.. Jamani wadada humu hakuna linaloshindikana naimani ..shida yangu kubwa nataka mshono amaizing ambao utanitoa chicha wa usiku nahitaji na ushauri wa aina ya material ya...
1 Reactions
12 Replies
7K Views
Kuna maswali mengine huonekana ni ya kijinga lakini yana maana. Kwa wadau ambao mmeoa na nyumba unayoishi sio master bedroom, nyumba nzima mnatumia choo kimoja hivi boxer zenu huwa mnaanika...
4 Reactions
95 Replies
9K Views
Baada ya onyo kwa wanaocheza uchi napenda niwajuze dressing code ya nchi jirani kwa wafanyakazi. Ni nzuri na inaleta heshima. Female officers To dress in a skirt or dress that is not above the...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Harufu ya kwapa husababishwa na bakteria ambao huvunjavunja protein iliyopo kwenye jasho na kutengeneza asidi yenye harufu kali. Dawa ni kuua hao bakteria au kuzuia wasizaliane. Hizi deodorants...
9 Reactions
30 Replies
15K Views
Nadhani boys/men wenzangu mtakua shahidi kwa haya mambo juu ya hawa wasicha. >> Unakuta msicha kajipamba kapambika/ Kajiremba karembeka boy unamtokea unavuta mzigo getoni, baada ya kutaka kuanza...
38 Reactions
279 Replies
24K Views
Hapo vip!! Kunajamaa angu mmoja na nimebishanae sana eti ameniambia sometime yeye kunasiku anapiga misele yake akiwa amevaa suruale tu pasipo kuvaa chupi au boksa ni nijamaa wa dar.Nikawa...
2 Reactions
50 Replies
10K Views
`Nimekaa na kuwaza nikaona si vibaya kukumbushana na kuelimishana juu ya kutunza nguo zetu za ndani, ~Inajulikana kuwa nguo za ndani ni muhimu kuvaa zile zinazonyonya jasho kwa wepesi zenye...
11 Reactions
49 Replies
10K Views
Binti Sahar Tabar wa Iran mwenye miaka 19, amefanya upasuaji wa sura yake mara 50 ka gharama kubwa ili afanane na muigizaji wa Marekani Angelina Jolie. Nini maoni yako
0 Reactions
85 Replies
10K Views
Sasa hivi habari ya mujini ni expansion joints. Tunaangalia uwezo wa kupumua kwa nyuma. Pua hata mbuzi anayo! :rolleyes:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…