Jaman mnao uza vipodozi hapa.mwanza washaulini wateja wenu ambao ni wadada maana unakuta mtu mmoja anarangi zaid ya nne jaman?
Sura ina rangi yake, mikono rangi yake,makalio rangi yake,mapaja...
Wataalam wa ngozi tusaidiane. Nataka kuua ndevu kabsa mana zmeamua kuwa nyeupe au mvi mapema. ndevu zangu ni nying sana za kurundikana. Mtaalam wa salun kanambia hata magic powder ninayotumia kwa...
Naomba wadada mje hapa; iteni wenzenu tuongelee suala la "vigodoro"
Kwanini tunanyanyapaana kuhusu shapewear jamani? Eti mtu anasema "ridhika na Mungu alichokupa". Kweli?
Nywele za bandia weka...
Baraka za muumba wa Mbingu na ardhi zikawe nanyi daima.
Jamani naomba kuuliza..hv unaweza vaa harusini (mwanamke) Suruali ya kitambaa?yaani nivae suruali na top na kikoti juu?
Nina harusi leo ya...
Ndugu wapendwa ninayo tenda ya kuuza Oriflame product.kama vile
#lipsticks
#soap bar
#lotion
#dawa ya nywele
#dawa ya upele baada ya kunyoa ndevu
#dawa ya miguu iliyopasukapasuka
Navingine. Kama...
Wapenzi habari zenu? Nawapenda sana
Haya nisaidieni mrembo mwenzenu nirembuke na mimi. Nahitaji steaming nzuri ya kufanya nywele zangu zijae.
Nywele nimeweka dawa ya Olive Oil. Je, ni steaming...
Ndg zangu leo tuongelee aina za vifaa vya makup zilizobora na bei zake
Naanza ...lipstic aina ya huda," hudumu masaa 24, no nzito ukipaka haiachi alama bei elf 5,
Tuendendelee kujuzana vingine...
Maana ukija hapa Mwenge ninaposhinda akina dada wanaokuja kununua nguo/viwalo ama unaweza sema, yaani wameonekana kwa idadi ya kutosha kabisa wakiwa wamekata nywele kwa ule mtindo pendwa wa...
Habari za jumapili wanafamilia wa jf. Nina rafiki wa kike toka marekani. Amekuwa akinitumia zawadi mbarimbari laini mimi sijawahi hata kumtumia zawadijapo moja[emoji85]. Nimefikili na kuona ni...
Tukio hilo hufanyika mara 1 kwa mwaka ambapo watu maarufu huvaa mavazi yenye taswira na ubunifu mbalimbali
Onesho hili la #MetGala hufanyika mwezi Mei Jijini New York nchini Marekani kwa ajili ya...
Manunuzi ya kwenye mitandao yamerahisisha upatikanaji wa bidhaa ambazo zamani tuliwaona nazo celebrities kwenye magazeti. Hii kweli ni dunia ya utanda wazi.
Wenye makampuni wamepunguza gharama...
Aisee jana kwenye Msiba wa Mzee wetu Mengi kulikuwa na Maajabu mengi sana mara Bashite aonyeshe kiburi cha uzima na pedo yake iliyochanika Magotini ilee lakini Kibaya zaidi ni namna Watu wengine...
Niko Mwanza kwa shughuli ya kutafuta rizk kwa wiki ya pili sasa.
Kama ilivyo kawaida yangu kugeuka geuka pindi mwanamke mwenye chura akipita ili angalau nipige 'paper two'. Kwa kweli kwa sasa...
Dunia imebadilika na idadi ya wanaovaa extra size imeongezeka, ukubwa wa khanga umebakia ule ule.
Unanunua khanga hata bila kuikata unapinda zote mbili lakini bado ni ndogo. Mbona vitenge...
Ni kitu kisichopingika kuwa mtu kuwa na muonekano mzuri anahitaji kuwa na umbo zuri pia. Wanawake hasa waliozaa huwa na matumbo makubwa yanayoharibu muonekano wao mzuri. Mazoezi haya yatakusaidia...
Mamboz!!
Wanye uzoefu wa kazi za saloon/hair stylists natafuta Hair Texturizer,mwenye idea wapi naweza ipata naomba anielekeze.
Nimezunguka KKoo maduka hawana na wengine hawana hata idea ni kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.