Wasichana: Jisafisheni miili yenu mnatia aibu

Te Lavista

JF-Expert Member
Mar 12, 2017
1,626
2,846
Nadhani boys/men wenzangu mtakua shahidi kwa haya mambo juu ya hawa wasicha.

>> Unakuta msicha kajipamba kapambika/ Kajiremba karembeka boy unamtokea unavuta mzigo getoni, baada ya kutaka kuanza ligi ndogo sasa duuh!!! Unakuta kule in the earth crust/wizara ya mariasili na utalii bin papuchilo panatoa harufu zaidi ya choo cha stendi ya huku kwetu kolomije. Au unakuta magma/ ujiuji fulani kama mtoto katapikia.

>> msichana unamkuta ana meno meupe kuliko hata ya nyau na tu lips twa kuvutia kunywa kile kinywaji pendwa lakini mdomo unatoa harufu mbaya kama kaficha pedi ya mtoto ndani au katafuna kinyesi.

>> Msichana mrembo lakini sasa ukimkagua masikioni unakuta sikio lipo kama mzinga wa asali, uchafu uchafu ukipakua unajaza magaloni.

>> Unakuta msichana mrembo lakini sasa ana Ampit hair kama nywele zangu za kichwani. Muwe mnanyoa banaaa.

>> Msichana unakuta ana pabic hair kwenye wizara ya maliasili na utalii kama ndevu za Osama basi unakuta bajaji na Teksi (kunguni na chawa) zimejazana huko utadhani vitanda vya gesti zetu huku Ntatilyabashashi.

{> Binti unamkuta miguu imempasuka kama matuta ya viazi mbatata hata akikukanyaga anakuachia Tatooo.

>> Msichana unakuta ana nywele za mapuani kama babu kifimbo cheza na hata aibu hana.

>> msichana muda wote yy anatongo tongo kama kifaranga cha ndege na hata hazitoi sijui hua mnazila.

Daah wasichana mnaboa sana jirekebiseheni bwanaaaa.
Kama Boys mlishawahi kukutana na hivyo vitu kwa msichana yoyote Gonga like mazee.

Wasichana povu ruksa kutoa hata la gwanji poa tu.
By Mwenyeji kutoka Twitter na Fesibuku.
Van Ray van Boy mtu mbaya
 
unapomponda mtu badala ya kumwelewesha haisaii kitu,pia ukiponda bila kumpa solution haisaaidii pia....dah ila we jamaa noma umeingia jf jumapili na ushafikisha txt 900 na kuwa expert member
 
Back
Top Bottom