Njia rahisi ya kuzuia harufu ya kwapa.

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
12,650
2,000
Harufu ya kwapa husababishwa na bakteria ambao huvunjavunja protein iliyopo kwenye jasho na kutengeneza asidi yenye harufu kali.
Dawa ni kuua hao bakteria au kuzuia wasizaliane.

Hizi deodorants huwa zinafanya mazingira ya kwapa yawe ya kiasidiasidi hivyo bakteria wanashindwa kuzaliana lakini inasemekana zinaleta kansa ya matiti na tezi dume.

Njia rahisi ni kutumia spirit kwa kupaka muda mfupi kabla ya kuoga spirit huua bakteria fasta sana na hauhitaji kupaka kila siku. Unaweza paka kwa wiki mara mbili au moja. Pia bei yake ni ndogo sana kama buku mbili hivi kwa robo lita.

Pia madhara ni kama hakuna kwa sababu spirit ni kama pombe kali.

Wenu katika unukaji wa kwapa Red Giant.
 

thatonegAl

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
827
1,000
Kula matunda na veggies kwa wingi.

Kunjwa maji yakutosha.

Acha kula junk food.

Pia punguza vyakula vinavyotokana na wanyama

Kula ital.

Workout regularly

Mwili hautatoa harufu

Ital is vital

Ital is vital.
 

mgodi

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,734
2,000
Ital is vital.....yes.

Let your food be your medicine and your medicine be your food.

Eat more fruits and veggies. Also drink enough water

Blessings
Hapo umenikumbusha hili shairi,

EAT MORE By Joe Corrie
Eat more fruit! The slogan say, ‘More fish, more beef, more bread!’
 

LadyRed

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
9,514
2,000
Kula matunda na veggies kwa wingi.

Kunjwa maji yakutosha.

Acha kula junk food.

Pia punguza vyakula vinavyotokana na wanyama

Kula ital.

Workout regularly

Mwili hautatoa harufu

Ital is vital
Ital ni chakula /kinywaji gani?
 

Mwelewa

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
2,352
2,000
Ital ni chakula /kinywaji gani?
Ital maana yake ni plant based diet. Natural

Tumia zaidi vyakula vya mimea.....whole grain, nuts, seeds, roots pia matunda.

Veggies na fruits inazo nutrients kuhuisha hali yoyote mbaya kwenye miili yetu.

Yes....ital is vital
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom