Mbinu za kupunguza sugu kwa wanaojichubua

Nima Imma

JF-Expert Member
May 14, 2015
2,473
3,624
Habari za leo
Tuende moja kwa moja kwenye hii mada fupi
Sipendi kuona wanawake wenzangu wakijichubua (japo na wanaume wengi nao wanashika kasi)

Ila siwez kulaumu hata siku moja kwanini wanajichubua na ndio maana leo ninazo mbinu za kuwasaidia kupunguza zile sugu
Eheee wamama ....ni hivi unapopaka mafuta yako epuka

Kunyoosha vidole wakati wa kupaka vidolen,,namaanisha ukishapaka mwilini kunja vidole vyako kisha paka cream yako ,,

kunja mguu kisha paka kwenye goti

Kunja vidole vya mguu kisha paka

Inama kisha paka kwenye kalio

Kunja kiwiko kisha paka cream yako

Inasaidia mafuta kupenya haraka kwenye mikunjo ,, na upake mengi kidogo
Kumbuka ngoz ya hapo n ngumu na nying ilojikusanya so usipake kama unapaka uson

Vivyo hivyo wakat wa kwenda kujiogesha kama unatumia sabun za kujing'arisha unajisafisha kwa mfumo wa hapo juu....

Itakusaidia mno kupunguza/kutokuwa na weusi katika zile sehemu za ngozi ngumu,,,

by Naima
 
Hahahah najua wengi wameusoma huu Uzi na wengine washàanza kutumia hii njia,ila hata kulike hawajalike wanaona wataonekana wapenda mikorogo,..ahsante bi Naima
Umeona ehhh,, ukweli n kwamba wengi sana wanajichubua ila sasa hawajui namna ya kupambana na zile sugu,,, fb wawaz sana mana walinishukuru kweli kweli
 
Hiyo ina apply hata kwa wasiojichubua hasa sie wanaume unapokuwa kwenye kazi nguvu wakati huo huo ngozi kavu
 
Kuna watu wana misugu kama ndizi za kuchoma,.mwee acha wajaribu labda zitapungua
Kabisa ,,,inafanya kazi mana nilipost yapata mwez fb na wamerudi kunishukuru mno kusema imefanya kazi
 
Hiyo ina apply hata kwa wasiojichubua hasa sie wanaume unapokuwa kwenye kazi nguvu wakati huo huo ngozi kavu
Ok,,, sasa kitu unapaswa kufanya kwa wanaume n kupaka mafuta ya nazi(mazuri n home made) yawe mengi kisha vaa gloves hata nusu saa kuhifadhi joto na unyevu nyevu kisha vua ..fanya walau mara 5-10 kwa mwezi utaona vile mikono inarudi kwa hali yake ya usoft
 
Kwenye sehem pendwa mbona znakuaga nyeusi...unakuta dem mweupe kama papai...ila sasa huko down unataman ukimbie
 
Kwenye sehem pendwa mbona znakuaga nyeusi...unakuta dem mweupe kama papai...ila sasa huko down unataman ukimbie
Wengi wetu huko kuko hivyo,,,hata wanaume pia ,, hata baadhi ya wazungu,, ni maumbile tu na sishauri mtu atumie dawa kali ili kuwe kweupe kikubwa n kujikubali basi
 
Kunashoga Angu miguu imegoma kutakataa usoo Kama muarabu na mashungii unaweza ukasema kashuka kutoka Oman na weupe ulee shuka Kwenye miguu Sasa :D:D:eek::D:D:D :D:D:D:D:eek::eek: sijui apake nini atakate
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom