Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Mimi mwenyewe sio hijabi (not yet) lakini huwa nawaza kuwa nikifika umri fulani ningependa kuanza kuvaa Hijab kwahiyo huwa nafanya research yangu ya Hijab fashion sehemu nyingiii, online na...
0 Reactions
5 Replies
19K Views
Kumetokea wimbi la wasichana na wamama kutoboa masikio zaidi ya ilivokuwa zamani. Zamani tulijua kutoga masikio kuliendana na ule utaratibu kutoboa sehemu ya chini kabisa ya sikio tundu moja...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Huyu jamaa ambaye anamnyoa Nas huwa ni fundi balaa, jamaa huwa anang'aa sana ,kama mtu ana contacts zake adrop hapa
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hi Habar zenu mmi naomba mnisaidie jina la application nzur inayotumika kwenye sm kuedit picha za kwa kutengeneza figure yaan hips tumbo na makalio
1 Reactions
37 Replies
20K Views
Naona siku hizi wadada wengi wanapenda kujifunga khanga, ili kuonyesha maumbo yao. Na wengi wanapovaa khanga ndani hawavai nguo yoyoye ili kuonyesha maumbile yao. Hapa mtaani kwangu jamaa...
3 Reactions
22 Replies
10K Views
Kama mwanaume mtanashati kuna vitu vitatu ambavyo ni foundation ya kupendeza " 1. KIATU 2. MKANDA 3. SAA Hi vitu mara nyingi kwa hulka za kiume ni mara chache kumkuta mwanaume ana mikanda zaidi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Warembo wa humu ndani...especially wale wenye seasonal chunusi+lashes..+ wale wanaotaka kumaintain their skin colour kuna this lotion hapa.... 1.inatibu vipele na zile chunusi ambazo sio sugu...
1 Reactions
19 Replies
8K Views
2016 has been the year of the crotch - well showing it off on the red carpet that is. Models Giulia Salemi and Dayane Mello were the latest girls to show it ALL during the Venice Film Festival...
1 Reactions
19 Replies
7K Views
Siku hizi nashangaa wanawake wanaweka makatani kichwani,mikope ya plastiki,kujichora marangi midomoni,mikucha ya plastiki mirefu,halafu anapiga picha kabinua kibinda nkoi,limdomo kalitanguliza...
2 Reactions
42 Replies
6K Views
Kuna siku imeshanitokea ukapiga pamba hadi ukajikubali mwenyewe? Leo imenitokea. Sijafika nnapokwenda ila sitashangaa kuambiwa nimependeza.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Pamoja na kupendeza kwote vazi la suti au koti la suti nimekuwa silioni kama ni muhimu kwa wakati wote hadi siku nitakapoona hivyo. Angalau mkulima mimi pia nianze kutoka kivingine ninapoanza...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Karibu wadau katika marembo ya nyumba yako., napatikana mbeya., kwa mawasiliano Zaid nichek 0718930097., 0753422844
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Tabia hii imekuwa ikifanya chupi kuwa na kiharufu flan hivi kibaya kutokana na kukosa Jua vizuri na kupelekea mvaaji kuonekana ananuka. Jamani tuanike nguo za ndani nje tu na kama unahofia basi...
6 Reactions
49 Replies
15K Views
Habari ndugu zangu, Nipo kwenye ukarabati wa salon yangu ya kiume. Bado najitahidi kupata front view(design ya mbele) ndani kwenye vioo vya kujitazama kipindi mteja ananyolewa na interiol colour...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau? Nimekuta sehemu, nimecheka nimeona tushiriki pamoja kufurahi na kujiuliza. 'Perfume' yako, psii, psii, psii! Ukichukuwa perfume ya mwenzako, psiii, psiii, psiiiiiiiiiiii...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
-They're attractive and stylish for both men and women. (They add pleasure too...) -The piercing don't hurt much if you do it in the midline. (just a little pinch) -If you plan to remove the...
6 Reactions
305 Replies
21K Views
Habari, Mimi nina tatizo, uso wangu umekua na rashes na makovu meusi ila sijui tatizo ni nini, nilishauriwa kutumia carotone ila nmeng'aa tu Ila makovu yenye weusi bado yapo Msaada wenu wa mafuta...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Na weza kuingia dukani nika baki na ng'aa ng'aa macho nashindwa ni nunue ipi hapa?? Mwisho wa siku na ambulia patupu. Labda niulize ni lotion/ mafuta gani ya uso? Walau uso ungae vizuri naku...
2 Reactions
11 Replies
9K Views
Back
Top Bottom