Msaada jinsi ya kupata Mustachi..

Almachus

Member
Dec 15, 2017
56
12
Nawasalimu kwa mara nyingine tena wana JamiiForums,

Mimi ni kijana wa miaka 20 lakini mpaka sasa nimepata ndevu za kawaida (kidevuni) lakini mimi napenda sana Mustachi (za mashavuni) maarufu kama TIMBA...

Naombeni msaada nifanyeje ili nizipate??
 
upload_2017-12-17_20-40-54.jpeg
images
jaribu ku-PM huyu jamaa huenda akakusaidia kuzipata
 
Kijana Tafuta hela kwanza maana ni gharama kuzihudumia zaidi ni uchafu tuu
 
Subiri ufike hata 30yrs basi km bado hazijaota ndiyo utafute ushauri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom