Binti Sahar Tabar wa Iran mwenye miaka 19, amefanya upasuaji wa sura yake mara 50 ka gharama kubwa ili afanane na muigizaji wa Marekani Angelina Jolie.
Nini maoni yako
![]()
Hata mimiMie sina maoni ila nataka utupie kapicha ka surgeon aliyemfanyia hivi binti wa watu...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani hata hawafananiii...Hata mimi
Ni kweli mkuuYaani hata hawafananiii...
[emoji23] [emoji23]after![]()
after![]()
[emoji23] [emoji23]
Hivi huyu surgeon ni kipofu au? [emoji23] [emoji23]
Kama edited eeeh