Uzuri ni nini? kipi kimpendezeshacho mtu?

Wissman

JF-Expert Member
Dec 12, 2014
1,011
1,279
kama kichwa cha mada kinavyojieleza je ni kipi hasa humpendezesha mtu?
je? uzuri upo kwa mtu? nikiwa na maana kuna watu wazuri zaidi ya wengine? kama ndivyo ni kwanini kuna dhana ya mtu kupendeza na kuonekana mzuri mara baada ya kuvaa mavazi nadhifu na urembo?
je uzuri upo kwenye vitu? nikiwa na maana watu wote tuna uzuri sawa ila tunatofautiana kutokana na mavazi na mapambo tunayovaa? unaweza ukawa umesikia fulani anaonekana mzuri au mrembo kutokana na mavazi na mapambo tuu.
uzuri au ubaya unakaa kwenye nini? wazuri huwa wabaya kutokana na mazingira, na hali za maisha, wabaya vilevile huwa wazuri kutokana na hali za maisha. utaskia ukipata hela unatakata. hela hubadilisha mengi na hufanya mengi lakini bado swali la msingi ni lile lile,
Uzuri wa nini? uzuri upo kwenye kitu au vitu vinavyoendana na uzuri?
mfano; kama sio ya mavazi Je, uzuri ungekuwepo?
watu ni wazuri au vitu ndio huwafanya watu waonekane wazuri?
 
Kuna tofauti kati ya uzuri na urembo,
uzuri ni wa asili (natural) na urembo ni kujipamba (artificial) ndio maana kama ulivyosema mazingira humfanya mtu mbaya aonekane mrembo hata kama ni mbaya lakini uzuri wa mtu hua haujifichi hata kama akiwa katika mazingira gani,

Lakini hapo hapo tusisahau uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu, wewe unaweza muona fulani mzuri mwingine akamuona ni wa kawaida.

Kuhusu uzuri wa nini mara nyingi hua wa sura, umbo na tabia.
Ni wachache sana ambao wanakua navyo vyote (ila my baby anavyo vyote lol)
 
Culture my best Mimi nmekuelewa mbona !!!!.
 
Hapo umezungumzia mambo mawili,binadamu na mavazi.
Kubaini nani ni mzuri na nani si mzuri inategemea na vigezo vya mtu (na hapa ndipo tunapotofautiana).
Mavazi yanachangia kuchagiza uzuri ama ubaya wa mtu kutokana na vigezo vyako. Vazi haliwezi kumfanya asiyemzuri kuwa mzuri ndio maana hata ukimvalisha mbuzi shati zuri hawezi kuwa mzuri kama ambavyo angevaa kijana mzuri na akapendeza.
 
Haha... Mimi siamini eti uzuri upo machoni mwa mtu. Siamini hili hata siku moja kuna watu wazuri kuzidi wengine. Kuna binadamu wazuri na kizuri ukikiona huna haja ya kujiuliza mara mbili.

kusema uzuri upo machoni ni kutafuta ubishi usio na maana na muda mwingine kujipa moyo[sio lazima ukubaliane nami], basi neno uzuri lisingekuwepo toka kabla, lipo na litaakuwepo maana vizuri vipo.

kifalsafa.. uzuri/sanaa waafrika sisi tunaamini uzuri upo katika mfumo na umbo la duara. Ndiyo maana nyumba zetu za zamani zilikuwa duara, viti vya kukalia, vinu, sufuria/chungu na hata kwenye kuimba tutaimba tunazunguka kuunda duara fulani.
 
Hapo umezungumzia mambo mawili,binadamu na mavazi.
Kubaini nani ni mzuri na nani si mzuri inategemea na vigezo vya mtu (na hapa ndipo tunapotofautiana).
Mavazi yanachangia kuchagiza uzuri ama ubaya wa mtu kutokana na vigezo vyako. Vazi haliwezi kumfanya asiyemzuri kuwa mzuri ndio maana hata ukimvalisha mbuzi shati zuri hawezi kuwa mzuri kama ambavyo angevaa kijana mzuri na akapendeza.
iwe mavazi ama vingine vya nje kipi ni sahihi? uzuri upo kwa mtu au uzuri huchagizwa na mapambo, urembo na mavazi? yaani bila hivyo ni vigumu kuona uzuri?
 
Kuna tofauti kati ya uzuri na urembo,
uzuri ni wa asili (natural) na urembo ni kujipamba (artificial) ndio maana kama ulivyosema mazingira humfanya mtu mbaya aonekane mrembo hata kama ni mbaya lakini uzuri wa mtu hua haujifichi hata kama akiwa katika mazingira gani,

Lakini hapo hapo tusisahau uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu, wewe unaweza muona fulani mzuri mwingine akamuona ni wa kawaida.

Kuhusu uzuri wa nini mara nyingi hua wa sura, umbo na tabia.
Ni wachache sana ambao wanakua navyo vyote (ila my baby anavyo vyote lol)
so unamaanisha kwa kiasi kikubwa uzuri tunaouona ni urembo na mapambo mengine ila watu sio wazuri? ;);)
 
Haha... Mimi siamini eti uzuri upo machoni mwa mtu. Siamini hili hata siku moja kuna watu wazuri kuzidi wengine.

Kitu gani wazuri kuliko wengine? Not serious Mkuu

Sura nzuri....sauti baaaya hii nikasoro

Ngozi nzuri.......makalio shiiida... Makubwa wengine hawataki....flati wengine hawataki

Mwili mzuri.......mambo ya 6x6 harufu mbaya ni kasoro kwenye uzuri wake

Mwili wakuvutia.....ndani shemale, balaaa

Uzuri wa mtu ni macho ya mtu anaye mtazama kwa unique reasons based on individual judgement
 
Nikuulize swali dogo tu....

Mtaani kwako/shule/jirani hakuna binti ambaye alikuwa anasemekana ni mzuri kuliko wote?

Ukisema no mimi shuleni/chuo/kazini/ wapo na watu tunasema ni wazuri. Wala hatujalala nao.

Leo uje uniambie hawa hapa chini eti uzuri wao upo machoni mwako.
bdea03aaf204425ec5bf37649768645f.jpg
40b85235cad302ccf2e482712786f7a6.jpg

Chukua hizo nguo wavalishe wa juu na za juu mvalishe wa chini...

[Hata dunia nzima mseme uzuri upo machoni mimi sitakubali watu wazuri wapo kuzidi wengine.]
 
Nikuulize swali dogo tu....

Mtaani kwako/shule/jirani hakuna binti ambaye alikuwa anasemekana ni mzuri kuliko wote?

Ukisema no mimi shuleni/chuo/kazini/ wapo na watu tunasema ni wazuri. Wala hatujalala nao.

Leo uje uniambie hawa hapa chini eti uzuri wao upo machoni mwako.
bdea03aaf204425ec5bf37649768645f.jpg
40b85235cad302ccf2e482712786f7a6.jpg

Anayesema mzuri amestate sababu?

Mzuri kwa nini hasa

Uzuri upi unaoungelea ule urembo wa majuwaani?
 
Hahaha unajua nini bro hata hao jamaa wawili kuna watu hawalali kwa ajili yao ndio maana wahenga walisema ukipenda sana hata "chongo utaona kengeza", hao wanaosemwa wazuri wa darasa au wazuri wa department kuna wengine wanawaona kawaida sana wala hawashtuki.
 
Uzuri....?

Sura nzuri

Tabia nzuri

Ana roho nzuri

Ana uzuri wa tabia

Mzuri wa sura, mbaya wa tabia

Mzuri usoni tu akivua shati kama mkoma
 
Anayesema mzuri amestate sababu?

Mzuri kwa nini hasa

Uzuri upi unaoungelea ule urembo wa majuwaani?
Tunaongelea uzuri wa umbo la nje la binadamu.

Huyo kaulizia uzuri na urembo.

Uzuri sio kila mtu ni mzuri kuna wazuri kuzidi wenzao.

Urembo kila mmoja anaweza kuwa mrembo. Binti mzuri hata aavae ngozi katikakati ya waliojiremba ataonekana tu.

Asante.
 
so unamaanisha kwa kiasi kikubwa uzuri tunaouona ni urembo na mapambo mengine ila watu sio wazuri? ;);)
Naam upo sahihi kabisa, wengi ni mapambo ndio wanaonekana warembo lakin ukiwatazama kwa jicho la tatu looh hakuna kitu kabisa,
kuna vyombo vipo huko village aiseee ukiona mwenyewe unasema 'Haleluyaaa' hapo unakuta hajaoga siku tatu lakin uzuri wake haujifichi.
 
Tunaongelea uzuri wa umbo la nje la binadamu.

Huyo kaulizia uzuri na urembo.

Uzuri sio kila mtu ni mzuri kuna wazuri kuzidi wenzao.

Urembo kila mmoja anaweza kuwa mrembo. Binti mzuri hata aavae ngozi katikakati ya waliojiremba ataonekana tu.

Asante.

Mkuu

Unachokipenda wewe sio lazima wengine wakipende

Kizuri machoni pako sio lazima kiwe kizuri kwa wengine
 
Back
Top Bottom