Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari wana JF, Nimekuwa nikijaribu sana kuweza kuotesha mazao mbalimbali katika bustani yangu Salasala hii yote ni kutaka kujifunza zaidi kwasababu ni kazi nayoipenda sana. Zoezi 1 Nilijaribu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mkoa wa Katavi tikiti hulimwa sehemu gani na vipi kuhusu masoko?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini watu wa nguvu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Eti ng'ombe wa maziwa anaweza akawa anauzwa shilingi ngapi na naweza kumpata wapi (mimi nipo Morogoro), vipi kuhusu uzalishaji wa...
2 Reactions
44 Replies
46K Views
Napenda kuwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Japo siyo mwandishi mzuri ila napenda ku-share na nyie Watanzania wenzangu kuwa zipo furusa nyingi za uwekezaji lakini baadhi yetu...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habar wanajukwaa hili,mimi ni mfugaji mdogo wa ng'ombe maziwa. Kutokana na changamoto ya malisho,ninauhitaji wa kuanza kutengeneza na kuhifidh malisho, lakini nimejaribu kuulizia hiki kifaa kwa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakubwa naomba kufahamu bei ya korosho, kwa raw na ambayo imekuwa tayari , Na je tan 1 ya korosho ina kg ngapi?
0 Reactions
1 Replies
729 Views
Habari wana JF, Napenda kujua zaidi kwa wakulima wanaofahamu kilimo cha ulezi namna ya kuandaa shamba, upandaji wake pia mavuno wastani kwa heka moja ni kiasi gani. NB: Wanaojua tu au aliewahi...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari wadau? Naomba kufahamishwa wapi vinapatikana vifaa vya kujenga banda la greenhouse kwa bei nafuu. Pia nina hitaji la kuandaa project ya ukubwa wa robo acre. Ninaomba kama naweza kusaidiwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za wakati huu Nahitaji kujua wapi nitapata vifaranga bora vya kuku wa nyama (broiler) kwa maeneo ya Dar au Pwani na bei zao zikoje. Nikipata mawasiliano itakua nzuri zaidi.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kontena la kwanza la futi 20 lililobeba Tani 7.5 za Korosho iliyosindikwa liliondoka Mtwara Oktoba 5, 2022, na mwezi Novemba Kontena nyingine 5 zitasafirishwa kwenda Marekani baada ya Tanzania...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Mulbery ni moja ya matunda yenye radha nzuri sana, na pia yana kazi nyingi sanakuanzia kutengeneza Juice, Jam, Ice cream na kadhalika. Haya matunda tunayo mitaani kwetu sehemu mbali mbali na watu...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
kipi kilimo kinalipa, mtazamo na ukweli ninaojua ni kilimo cha mazao ya kudumu, kahawa, korosho, parachichi, ndizi nk ni mazao machache sana yasiyo ya kudumu yanayolipa mfano viazi mviringo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasaalam ndugu zangu, ninahitaji kupata huduma ya mtaalamu mwenye uzoefu wa kuandika business plan za sekta ya kilimo.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Maabara ya Vetenari Tanzania, Dk Stella Bitanyi amesema asilimia 65 ya vifo vya ng'ombe vinasababishwa na mdudu kupe (ndorobo). Amesema mdudu huyo anayesababisha...
1 Reactions
0 Replies
720 Views
WADAU, NATAFUTA TENGA ZILIZOTUMIKA (USED) ZA KUBEBEA KUKU KAMA HIYO YA KWENYE PICHA HAPO CHINI. KAMA UNAZO NAOMBA NICHECK INBOX. NAITAJI ZILIZOTUMIKA KWA UNAFUU WA BEI.
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Habari Wakuu, Mimi ni mkulima wa Miwa katika bonde la Kilombero, katika bonde hili huwa tunalima Miwa na kuuza kwa kampuni ya sukari Kilombero. Kwetu huku hili ni zao kuu la kibiashara Kama...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwanga wa Jua unacheza katika nafasi kubwa sana katika ukuwaji mzima wote wa mimea kuanzia nyakati za mbegu, udogo wake na mpaka nyakati zile za ukomavu wake. Katika kuhakikisha ukuwaji wa mmea...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuku wameshakua wakubwa ila wanakuwa wanazubaa na kujikunyata namna hii halafu asubuhi unakuta wamekufa.. Nimepoteza kuku kama 18. Hawafi mchana, utakuta tuu asubuhi wamekauka.
2 Reactions
4 Replies
859 Views
Wakati wenzetu wanazungumzia mapinduzi ya viwanda awamu ya 5 (5IR Wala si 4IR) sisi tunaulizana umiliki wa jembe la mkono?
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari wakulima, mimi naomba kupata mawazo chanya juu ya kilimo cha tumbaku hasa kwa mkoa wa mbeya wilayani chunya maana nimeelekezwa huko kilimo kinakubali. Kwa wazoefu na hili zao naomba uzoefu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom