Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wakuu habari napenda kufanya ufugaji wa bata ila nakwamisha na mazingira niliopo naomba ushauri au hata msaada ili niweze kuongeza kipato kupitia ufugaji huu ninaishi Mombasa nimepanga chumba...
1 Reactions
3 Replies
913 Views
Boga ni zao ambalo mmea wake unakuwa kwa kutambaa na ni la mviringo, ngozi yake ni nyororo na rangi yake ni ya njano inayoelekea kwenye rangi ya chungwa au rangi ya kijani. Katikati ya boga kuna...
6 Reactions
42 Replies
13K Views
Wadau na wataalamu nawasalimu kwa pamoja, Nina kashamba kangu mahali mkoa wa pwani Kama heka 20. Nafikiria huu msimu wa mvua nipeleke huko miti michache nikaoteshe kuzunguka eneo lote sasa mm...
3 Reactions
46 Replies
50K Views
Niulize chochote kuhusu zao la nyanya nitakujibu kama mkulima.
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Habari Wana JF, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nataka nilime kitunguu maji nikiwa serious. Wenye uzoefu na zao hili au mwenye ABC pia naomba anipe ushauri changamoto, cost na maeneo ambayo...
1 Reactions
2 Replies
720 Views
Naomba kujua ni mkoa gani naweza kununua ng'ombe wenye uzito kuanzia 100kg na kuendelea kwa bei nafuu. Thanks
2 Reactions
46 Replies
31K Views
Habari wana JF. Naomba mwenye uzoefu au utaalamu wa zao la korosho anisaidie kujua mahitaji ya kuanzisha kilimo hiki. Nataka nitafute shamba(virgin land) kwa kilimo hiki, napenda nijue maeneo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Natamani ufunguliwe mjadala wa korosho, yajadiliwe yafatayo! Maandalizi ya shamba, mavuno na mauzo (soko). Kwa kuanzia najua kwamba haijawahi kutokea pasiwe na malalamiko yanayohusu zo la Korosho...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
WanaJf, Nina wazo la kununua trekta ila changamoto niliyonayo ni gharama kubwa na kiwango cha fedha nilichonacho ni 15 million. Tusaidiane wadau wapi nitapata hata kwa mkopo wa kutanguliza...
4 Reactions
12 Replies
8K Views
Hàbar Wana JF, Kama kichwa Cha hàbar kinavyo jieleza hapo juu mim nikijanq mwenye umri wa miaka 27 Ila bado sijatoboa maisha haya Yani umri uwo lakin bado naishi kwa wazazi ya kila kitu...
10 Reactions
61 Replies
8K Views
Habari wapendwa, Mwenyewe utaalamu kidogo wa mahindi ya njano(sweet corn) Ningeomba kujua jinsi ya kulilima hapa Tanzania, na je linaweza kustawi Tanzania Asanteni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau!Naomba nipate mawazo/ushauri/ujuzi juu ya kilimo cha Vanilla
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wataalamu wa kilimo cha Matunda naomba kujua ni miti ipi ya matunda ambayo hata nikipanda karibu na Fence haitaharibu ukuta kwa maana ya mizizi yake kusambaa sana kwenda kupasua ukuta
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF, Nimekuwa nikijaribu sana kuweza kuotesha mazao mbalimbali katika bustani yangu Salasala hii yote ni kutaka kujifunza zaidi kwasababu ni kazi nayoipenda sana. Zoezi 1 Nilijaribu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mkoa wa Katavi tikiti hulimwa sehemu gani na vipi kuhusu masoko?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini watu wa nguvu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Eti ng'ombe wa maziwa anaweza akawa anauzwa shilingi ngapi na naweza kumpata wapi (mimi nipo Morogoro), vipi kuhusu uzalishaji wa...
2 Reactions
44 Replies
46K Views
Napenda kuwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Japo siyo mwandishi mzuri ila napenda ku-share na nyie Watanzania wenzangu kuwa zipo furusa nyingi za uwekezaji lakini baadhi yetu...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habar wanajukwaa hili,mimi ni mfugaji mdogo wa ng'ombe maziwa. Kutokana na changamoto ya malisho,ninauhitaji wa kuanza kutengeneza na kuhifidh malisho, lakini nimejaribu kuulizia hiki kifaa kwa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakubwa naomba kufahamu bei ya korosho, kwa raw na ambayo imekuwa tayari , Na je tan 1 ya korosho ina kg ngapi?
0 Reactions
1 Replies
730 Views
Habari wana JF, Napenda kujua zaidi kwa wakulima wanaofahamu kilimo cha ulezi namna ya kuandaa shamba, upandaji wake pia mavuno wastani kwa heka moja ni kiasi gani. NB: Wanaojua tu au aliewahi...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Back
Top Bottom