Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Hàbar Wana JF, Kama kichwa Cha hàbar kinavyo jieleza hapo juu mim nikijanq mwenye umri wa miaka 27 Ila bado sijatoboa maisha haya Yani umri uwo lakin bado naishi kwa wazazi ya kila kitu...
10 Reactions
61 Replies
8K Views
Habari wapendwa, Mwenyewe utaalamu kidogo wa mahindi ya njano(sweet corn) Ningeomba kujua jinsi ya kulilima hapa Tanzania, na je linaweza kustawi Tanzania Asanteni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau!Naomba nipate mawazo/ushauri/ujuzi juu ya kilimo cha Vanilla
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wataalamu wa kilimo cha Matunda naomba kujua ni miti ipi ya matunda ambayo hata nikipanda karibu na Fence haitaharibu ukuta kwa maana ya mizizi yake kusambaa sana kwenda kupasua ukuta
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF, Nimekuwa nikijaribu sana kuweza kuotesha mazao mbalimbali katika bustani yangu Salasala hii yote ni kutaka kujifunza zaidi kwasababu ni kazi nayoipenda sana. Zoezi 1 Nilijaribu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mkoa wa Katavi tikiti hulimwa sehemu gani na vipi kuhusu masoko?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini watu wa nguvu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Eti ng'ombe wa maziwa anaweza akawa anauzwa shilingi ngapi na naweza kumpata wapi (mimi nipo Morogoro), vipi kuhusu uzalishaji wa...
2 Reactions
44 Replies
46K Views
Napenda kuwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Japo siyo mwandishi mzuri ila napenda ku-share na nyie Watanzania wenzangu kuwa zipo furusa nyingi za uwekezaji lakini baadhi yetu...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habar wanajukwaa hili,mimi ni mfugaji mdogo wa ng'ombe maziwa. Kutokana na changamoto ya malisho,ninauhitaji wa kuanza kutengeneza na kuhifidh malisho, lakini nimejaribu kuulizia hiki kifaa kwa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakubwa naomba kufahamu bei ya korosho, kwa raw na ambayo imekuwa tayari , Na je tan 1 ya korosho ina kg ngapi?
0 Reactions
1 Replies
728 Views
Habari wana JF, Napenda kujua zaidi kwa wakulima wanaofahamu kilimo cha ulezi namna ya kuandaa shamba, upandaji wake pia mavuno wastani kwa heka moja ni kiasi gani. NB: Wanaojua tu au aliewahi...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari wadau? Naomba kufahamishwa wapi vinapatikana vifaa vya kujenga banda la greenhouse kwa bei nafuu. Pia nina hitaji la kuandaa project ya ukubwa wa robo acre. Ninaomba kama naweza kusaidiwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za wakati huu Nahitaji kujua wapi nitapata vifaranga bora vya kuku wa nyama (broiler) kwa maeneo ya Dar au Pwani na bei zao zikoje. Nikipata mawasiliano itakua nzuri zaidi.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kontena la kwanza la futi 20 lililobeba Tani 7.5 za Korosho iliyosindikwa liliondoka Mtwara Oktoba 5, 2022, na mwezi Novemba Kontena nyingine 5 zitasafirishwa kwenda Marekani baada ya Tanzania...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Mulbery ni moja ya matunda yenye radha nzuri sana, na pia yana kazi nyingi sanakuanzia kutengeneza Juice, Jam, Ice cream na kadhalika. Haya matunda tunayo mitaani kwetu sehemu mbali mbali na watu...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
kipi kilimo kinalipa, mtazamo na ukweli ninaojua ni kilimo cha mazao ya kudumu, kahawa, korosho, parachichi, ndizi nk ni mazao machache sana yasiyo ya kudumu yanayolipa mfano viazi mviringo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasaalam ndugu zangu, ninahitaji kupata huduma ya mtaalamu mwenye uzoefu wa kuandika business plan za sekta ya kilimo.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Maabara ya Vetenari Tanzania, Dk Stella Bitanyi amesema asilimia 65 ya vifo vya ng'ombe vinasababishwa na mdudu kupe (ndorobo). Amesema mdudu huyo anayesababisha...
1 Reactions
0 Replies
718 Views
WADAU, NATAFUTA TENGA ZILIZOTUMIKA (USED) ZA KUBEBEA KUKU KAMA HIYO YA KWENYE PICHA HAPO CHINI. KAMA UNAZO NAOMBA NICHECK INBOX. NAITAJI ZILIZOTUMIKA KWA UNAFUU WA BEI.
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Habari Wakuu, Mimi ni mkulima wa Miwa katika bonde la Kilombero, katika bonde hili huwa tunalima Miwa na kuuza kwa kampuni ya sukari Kilombero. Kwetu huku hili ni zao kuu la kibiashara Kama...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom