Kilimo cha hoho za rangi

Jiger

Member
Jun 8, 2023
26
12
Hoho za rangi ( Capsicum colored ) ni aina ya pilipili mboga zenye halufu nzuri na kuvutia kutokana na aina gani ya rangi, zipo aina nyingi za rangi ila tulizo zoe kuziona kulimwa haswa Afrika Mashariki ni NJANO, NYEKUNDU, ORANGE NA KIJANI.

Pilipili mboga hizi zina faida kubwa wakati wa kulima ila ipo changamoto moja tu kwa wakulima wengi na changamoto hiyo hiyo inafanya wakulima wengi wadogo wasiweze kulima changamoto hiyo ni garama za mwanzo huwa ni kubwa kiasi kulingana zinaitaji utengeneze mazingira ambayo zitaweza kuishi mpaka kuvuna ambayo mazingira hayo ni GREENHOUSE

Hilo banda linalotakiwa lijengwe either liwe la chuma au miti au liwe na materia muhimu yanayotumika.
Kwa mfano mdogo kabisa ukitaka kujenga banda ilo la upana mita 8 na urefu mita 30 (8*30 ) itakugarimu shilingi milion 3 na kukufanya upate laki 5 kila wiki aya ni makadilio ya chini kabisa kama ukiwa unatoa kilo 100 ila mahesabu mazuri zaidi kila mche wa hoho unatoa nusu kilo kwaio kwa ukubwa wa greenhouse 8*30 inakupa miche 800 inategemea unapanda nafasi ipi kwana kadilio ya uvunajini miezi 6 mfululizo ivo basi kwa maaan iyo soko kuu kabisa ya bidhaa izi ni ilala, kisutu Kariakoo na supermarket pamoja na vegetation shop za mjini kwa kilo moja bei ikiwa nzuri kilo moja 6000 na bei ikishuka 4500 mpaka 3500 kwa muji huu kilimo iki kina lipa ila mwanzo wake ndio unaitajika uvumilivu wa kuwekeza.

Ila kwa ulimaji huu muhimu kuwa na bwana shamba ambae analima na kusimamia miladi kama hii kwa wenye vikundi mtu mmja mmja karibuni kwa elimu na ushauli.
Wasiliana nami 0620345862

Kazi zangu zipo na zinaoneka ukiitaji kuona
 
Rangi yenyewe ss.
FB_IMG_1690834741157.jpg
 
Eti hoho za rangi. Kuna hoho hazina rangi? Au hii elimu yako ya kilimo umeipata India?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom