Nataka kufuga mbwa ambaye hana madhara wala sio wa urembo

Frank Msambila

New Member
Sep 7, 2017
3
2
Nauliza. Nataka kufuga mbwa lkn hasie na madhara wala sio kwa urembo wa sebuleni. Awe normal wa nje mwenye kucheza cheza na upendo. Sipendi mwenye manyoya mengi sana kwasabab ya usafi.

Naombeni ushauri wa jina la Mbwa. Na ikiwezekana sehemu ambazo anapatikana
 
Mkuu,unatafuta mbwa kwa ajili ya ulinzi au mapambo(toy breed). Pia unapatikana wapi kurahisisha sehemu ya upatikanaji
 
Kwa vigezo hivyo mbwa koko wanakidhi haja yako.
Hawana manyoya mengi, siyo kwa ajili ya urembo, wako normal tu wanachezacheza nje.
Kuhusu upatikanaji wake inategemea na sehemu ulipo, ila kwa kawaida hao mbwa wanapatikana karibia maeneo yote!
Kuhusu jina, muite kulingana na umbo na rangi yake.
 
Mbona rahisi mambwa Koko yanazagaaga huko mitaa hayanaga kwere na mtu mengi unakuta yana rangi nyekundu hivi

Yanazaa hovyo hivi nikahisi kupata cubs, nakushauri tafuta dume manake jike atakuletea jiji
 
Kwa anayetafuta mbwa wa ulinzi mwenye akili kuna GERMAN SHEPHERD (Pure breed) wanapatikana!!. Watakuwa tayari baada ya wiki mbili yaani watoto hao wa mbwa wapate chanjo muhimu kwanza!!
 
Nauliza. Nataka kufuga mbwa lkn hasie na madhara wala sio kwa urembo wa sebuleni. Awe normal wa nje mwenye kucheza cheza na upendo. Sipendi mwenye manyoya mengi sana kwasabab ya usafi.

Naombeni ushauri wa jina la Mbwa. Na ikiwezekana sehemu ambazo anapatikana
Hasie huwa sijisumbui kujib wanaoandika hivi
 
Back
Top Bottom