Opontia/Prickly pears/Indiani Pears, mmea ambao one day tutajilaumu sana

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,915
Kwenye Bible kuna maneno yana sema "Watu wangu wanaangami kwa kukosa maarifa" Binafisi huwa nakubaliana na hayo maneno kwa asilimia zote.

Opontia ni mmea kutoka katika familia ya cactus kama ilivyo dragons na mimea mingine mingi. Opontia au prickly pears utakutana nayo sana maeneo makame na imetapakaa Dunia nzima hasa kanda kame

Huu mmea binafisi nilikutana nao nikiwa mdogo kule karatu tulikuwa tunakula matunda yake some time.Ila sikujua faida zake ua kazi yake nyingine pia.

Huu mmea haukuota maeneo makame kwa bahati mbaya,ilikuwa ni makusudi ya Mungu kwamba huu mmea uote maeneo makame tu.

Prickly pears hii ingawa kwa nchi zilizo endelea wame comercilization na pia kuzalisha mbegu zingine,kuna varieties zake nyingi kwa sasa.Huku Tanzania zipo huko Mapolini zimejikalia na sans huwa tunazung'oa na kuona ni kero.

South Africa ni moja ya nchi Africa ambayo hizi opontia zinapatikana kwa wingi sana na wao wali comercilize kitambo sana,Asia India pia ni nyingi sana.

Mwaka huu nilikuwa na Mmasai mmoja nilimtembelea maeneo ya Arusha huku nikajaribu kumpa shule ya huu mmea na akaufanyia kazi,Yule Mmasai huwa kila nikikutana naye huwa anajilaumu sana,huwa kikubwa anajilaumu kwa kutojua mapema.

Ukiachana na matunda yake perickly hii inakazi nyingi lukuki na za faida kubwa sana kwa jamii.

Matunda yake yanauzwa hadi Supermarket zetu ila yakiwa yanatokea South Africa na kilo huwa ni sh 30,000/ Watu wanao jua Afya huwa ndio watumiaji wake.

Matumizi.

Prickly pears majani yake uanauwezo wa kuzalisha biogas sawa sawa na inauo zalishwa na kinyesi cha Mifugo au binadamiu,India au Mexco wana tia sana kuzalishia gasi.

Haya matunda yanafaida nyingi sana mwilini mwa binadamu ila wanashauri mtu asile na mbegu zake, Ila tunda kama tunda linafaida lukuki sana mwilini.

Kwa nini yakaota maeneo makame?

Majani ya opontua yanaweza tumika kulishia mifugo,yaani Ng'ombe au mbuzi wanaweza lishwa haya majani na waka survive kipindi cha ukame.Hili ndio watu wengi walikuwa hawalijui,yule mmasai alijilaumu sana kwa kuto kujua hili mapema.

Ukiona mmea kama huu unaota sehemu kame jua kuna sababu za Mungu kufanya hivyo.

Mambo kama kuzalisha wine ni ya kawaida kwa sababu tunda lake likisha kuwa linaliwa basi inafaa kwa wine pia.

NB:Unaweza sasa anza kufanyia majaribio,hasa.

IMG_20231206_075238.jpg
chumb15.jpg
FB_IMG_1701837795492.jpg
 
Kwenye Bible kuna maneno yana sema "Watu wangu wanaangami kwa kukosa maarifa" Binafisi huwa nakubaliana na hayo maneno kwa asilimia zote.

Opontia ni mmea kutoka katika familia ya cactus kama ilivyo dragons na mimea mingine mingi. Opontia au prickly pears utakutana nayo sana maeneo makame na imetapakaa Dunia nzima hasa kanda kame

Huu mmea binafisi nilikutana nao nikiwa mdogo kule karatu tulikuwa tunakula matunda yake some time.Ila sikujua faida zake ua kazi yake nyingine pia.

Huu mmea haukuota maeneo makame kwa bahati mbaya,ilikuwa ni makusudi ya Mungu kwamba huu mmea uote maeneo makame tu.

Prickly pears hii ingawa kwa nchi zilizo endelea wame comercilization na pia kuzalisha mbegu zingine,kuna varieties zake nyingi kwa sasa.Huku Tanzania zipo huko Mapolini zimejikalia na sans huwa tunazung'oa na kuona ni kero.

South Africa ni moja ya nchi Africa ambayo hizi opontia zinapatikana kwa wingi sana na wao wali comercilize kitambo sana,Asia India pia ni nyingi sana.

Mwaka huu nilikuwa na Mmasai mmoja nilimtembelea maeneo ya Arusha huku nikajaribu kumpa shule ya huu mmea na akaufanyia kazi,Yule Mmasai huwa kila nikikutana naye huwa anajilaumu sana,huwa kikubwa anajilaumu kwa kutojua mapema.

Ukiachana na matunda yake perickly hii inakazi nyingi lukuki na za faida kubwa sana kwa jamii.

Matunda yake yanauzwa hadi Supermarket zetu ila yakiwa yanatokea South Africa na kilo huwa ni sh 30,000/ Watu wanao jua Afya huwa ndio watumiaji wake.

View attachment 2834328View attachment 2834329View attachment 2834330
Hii ni Cactus ya kawaida au ni tofauti mbona kama ni ya kawaida zipo nyingi sana Singida Dodoma,Tabora Shinyanga na Mwanza ...

Na wanayaita Furahisha
 
Faida hizo nyingi ni zipi, mbona huzitaji?
Au unataka kuanzisha project ya Namaingo na Kijani Kibichi ya Adam Rashid Ngemange?
Mkuu huyu Adam Ngamange unamjua?

Kitambo 2013 alifika chuoni kwetu na kuleta taasisi yake ya IPDM, akitupa hamasa apate ushirika wa Shule ya Sheria pale Chuo ili twende tukatoe msaada wa kisheria kwa wale wananchi 2000 wa Wazo Hill.

Chuo kilikataa. Basi tukaenda sisi kama sisi.

Baadaye niligundua ni mbabaishaji ila alikuja kuanzisha project ya kilimo ninasikia alipiga sana hela za wafadhili na wananchi.

Kuna wakati nilikutana naye Madale 😀
 
Hii ni Cactus ya kawaida au ni tofauti mbona kama ni ya kawaida zipo nyingi sana Singida Dodoma,Tabora Shinyanga na Mwanza ...

Na wanayaita Furahisha
Yes ndio hayo hayo mkuu,nimeeleza nadhani kwamba yanapatikana meneo makame makame huko ndio kwao kabisa.

Ndio hayo naongelea
 
We jamaa mbabaishaji sana, nakuhakikishia hautakuja kufanikiwa iwe kilimo au mifugo kwa sababu una papara sana na hizi fursa.
 
We jamaa mbabaishaji sana, nakuhakikishia hautakuja kufanikiwa iwe kilimo au mifugo kwa sababu una papara sana na hizi fursa.
Sikiliza alie kuambia kila ninacho share humu ninakifanya ni nani?;Fuatilia post zangu za nyuma ziko nyingi nimeongelea vitu vingi sana,Shirikisha ubongo Prickly prars ni matunda mfano,yanaliwa hata hapa Tanzania unataka nisemeje kwamba hayaliwi?

Haya si yamejaa polini?kwenye post nimesema nayauza?
 
Sikiliza mjinga wewe nyie mmravamiaJf hakuna mnacho kijua hata kimoja,Mbona imescreen short chache? Kwa hio. kwa akiliza zako kama pilitoni unazania kila macho post humu nakifanya? we mjinga humu tunashare elimu,
Hizi hasira ungezielekeza kwenye kujifunza namna ya kuandika ungekuwa mbali sana kama mwenzio Samico Tanzania , nenda kaangalie nyuzi zake zilivyo zimenyooka japokuwa ana contents zinazoendana na zako..
 
Back
Top Bottom