CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,915
Ukitembela miji mingi, kitoweo ni changamoto kubwa sana, hasa upatikanaji na pia bei zake.
Ikishafika jioni huwa familia nyingi hasa hizi za vipato vya chini huwa wanawaza sana kuhusu kitoweo either hakipatikani au ni ghali sana.
Mboga ni ghali sana kwa sasa, hasa hizo Samaki, Nyama na hata Dagaa, na nadhani population ni tatizo pia.
Tunahitaji sana kuwekeza kwenye vitoweo hasa vitoweo kwa ajili ya lower class huku, kule Mboga saba hawawazi vitoweo kwanza kitoweo kwao ni chakula.
Supply ya Dagaa na Samaki kutoka Ziwa Victoria ni kama inaenda inakata kabisa.
Tunahitajika kuwekeza sasa kwenye mbadala hasa kuku na mifugo mingine kama Mbuzi, Kware, Samaki na baadhi ya wadudu ili kuendana na uhaba wa kitoweo kwa jamii.