Wapi naweza pata chokaa kwa matumizi ya kilimo?

Mnanje Boy

JF-Expert Member
Jan 20, 2018
253
797
Habari zenu Wakuu,

Wapi naweza pata chokaa kwa matumizi ya kilimo maana nimeulizia Dodoma cement wenyewe wanauza kuanzia 1000 kg na Mimi nahitaji 100kg.

Napatikana Singida
 
Chokaa ya kilomo Mkuu
Chokaa gani hiyo ya Kilomo mkuu?😂😅😆😁😄 inaitwa chokaa mazao inatumika kupunguza acid kwenye udongo. Tanzania kuna viwanda viwili vya kuzalisha na kusambaza hiyo chokaa. Kuna kile cha Dodoma Cement Company Limited cha Mzee Nghumbi Baba Mkwe wangu. Mzee nampenda sana binti yako Ritha wakili msomi pia kuna kiwanda kingine pale Mbeya.
 
Chokaa gani hiyo ya Kilomo mkuu? inaitwa chokaa mazao inatumika kupunguza acid kwenye udongo. Tanzania kuna viwanda viwili vya kuzalisha na kusambaza hiyo chokaa. Kuna kile cha Dodoma Cement Company Limited cha Mzee Nghumbi Baba Mkwe wangu. Mzee nampenda sana binti yako Ritha wakili msomi pia kuna kiwanda kingine pale Mbeya.
Sawa Mkuu lkn ukiongelea mazao ndio kilimo, shida ya Dodoma cement wanauza kuanzia 1000 kg ambayo ni kubwa sana kwa mkulima wa chini kama Mimi
 
Habari zenu Wakuu,

Wapi naweza pata chokaa kwa matumizi ya kilimo maana nimeulizia Dodoma cement wenyewe wanauza kuanzia 1000 kg na Mimi nahitaji 100kg.

Napatikana Singida
Nenda kwenye maduka ya pembejeo watakupa hints...vitu vingi huwa tunaviona vigumu sababu hatuendi sehemu sahihi kupata taarifa....

....nimesoma huu uzi na hakuna majibu ya maana kukusaidia...

In everything kwenye maisha know the right channels za kupata taarifa...will save you plenty of time!
 
Asante Mkuu niliipata tayali
 
Back
Top Bottom