Nauza Migomba ya Tissue Culture

Godfrey Sway

Member
Apr 13, 2018
37
34
Migomba Aina ya malindi, Mshare, Bukoba, mzuzu na kisukari utaipata kwa Bei nzuri kabisa.

Tupigie Leo 0752799673/0746850361

IMG_20231201_091204_213.jpg
 
faida ya migomba itokanayo na tissue ni nini ukilinganisha na suckers za kawaida??
 
Arusha mnapatikana wapi???

Nyie sio ndio mnajiita Maua Mazuri
Bei za wataalamu ndio kubwa. Kuna mzee aliniambia mmoja elf 5. Ukipiga hesabu kwa heka 5000× 400= 2000000 Wakati ya kienyeji unakatiwa tani yako na mengine inazaa vizuri tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom