Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari za mida hii wanajamvi. Naomba msaada kwa yeyote anae fahamu ni wapi na weza kupata viazi mkoani Mbeya au Njombe. Bei iwe ya jumla ya shambani na pia gharama za usafiri zimekaaje? Kwa...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Leo ningependa kuzungumzia hii biashara ya kuku inayofanywa na baadhi ya wafugaji ambao mwisho wa siku wanazalisha vifaranga na kuwauzia wajasiliamali wengine. Somo hili ni mahususi kwa wale...
34 Reactions
110 Replies
38K Views
Kwa mwana JF yeyote mwenye ujuzi na uzoefu wa kilimo cha viazi naomba anipe detail kuhusu kilimo hicho. Yaani kwa mfano, nikitaka kulima hekari moja natakiwa kuwa mtaji wa kiasi gani? Na vipi...
3 Reactions
161 Replies
143K Views
Wadau, Nimepata habari rifiji ni mgodi mpya wa upatikanaji wa ngombe na mbuzi kwa bei nzuri. Naomba yoyote mwenye ufahamu wa hili na connection anijuze!
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa kweli namkubali mbwa anaeitwa "GREAT DANE" Size yao, nguvu ya sauti ya kubweka, uchangamfu na nguvu.
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Linastawi Tanzania? Linatumikaje?
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Naomba ushauri wa jinsi ya kutibu huu ugonjwa.
0 Reactions
2 Replies
598 Views
Habari wanajukwaa, katika kufikiria mbinu na namna ya kuboresha na kufanya ujasiriamali kupitia kilimo na ufugaji nimewaza na kupanga kupata vijana waliopitia mafunzo ya JKT (either kwa mujibu wa...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu kwa mara nyingine nimefanikiwa kuagiza hawa vifaranga wa Kuroiler. Hawa ni kuku kutoka India na wanaweza fugwa free range na hawa like Dorep wanakuwa wakubwa sana. So by mwezi wa 12...
10 Reactions
84 Replies
51K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko amegawa TANI MOJA ya Mbegu Bora za Mazao ya Alizeti kwa Wanawake wa Mkoa wa Kilimanjaro ili kuwainua Wanawake Kiuchumi katika...
1 Reactions
2 Replies
763 Views
Habari za majukumu wakuu, Naomba kujua mwenye uzoefu na kilimo cha vitunguu, katika eneo la Kondoa au karatu wapi naweza pata faida, mtaji wangu ni tshs 100,0000.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wakuu hawa wadudu wanakula sana mizizi ya nyanya zangu mpaka zinakauka, je nitumie nn kuwadhibiti!?
0 Reactions
1 Replies
569 Views
Mwaka Jana, miwili iliweka matunda machache. Mti wa kwanza ulizaa embe 1 na wa pili maembe 2. Ilikuwa mitamu sana. Nilitarajia mwaka huu miti yote 5 ingezaa, tena matunda mengi kuzidi ya mwaka...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari zenu wafugaji na maafisa kilimo na ufugaji. Biashara zote zimegoma kwahio nataka niingize mtaji kufuga kuku wa mayai. Sina experience lakini kwenye mchanganuo wangu wa biashara nimeweka...
1 Reactions
25 Replies
34K Views
Narudia tena kilimo cha nyanya msimu mwingine wa masika baada ya kumalizana na kiangazi. Msimu uliopita nilipanda miche 1000 tu kama sehemu ya kujifunza kwa vitendo. Matokeo yalikua sio mazuri...
18 Reactions
74 Replies
31K Views
Habari wadau, nimepanga kulima nyanya mwaka huu, nataka nitakazouza muda wa kuanzia mwezi wa 11 mpaka muda huu naomba mnishauri kwa yafuatayo; 1. Nianze kufulia mbegu lini 2. Nianze kulima lini...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Tanzania imezungukwa na maziwa makubwa yenye maji mengi kama vile ziwa Victoria , ziwa Tanganyika, Ziwa nyasa nk. Mara kwa mara viongozi wetu wamesikika wakisema tutumie maziwa haya kwa kilimo cha...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Nilikuwa nimelima mahindi ekari 2, Jana nimeenda kuvuna haya mahindi nimempata gunia 6. Nimeagiza Bajaji/ Toyo la mizigo kuja kubeba haya magunia 6 ya mahindi ambayo bado sijayapukuchua toka...
25 Reactions
79 Replies
5K Views
Habarini wana jamvi, kama kichwa Cha Uzi kinavyosomeka, napenda kujua ni water pump nchi ngapi inayoweza kupeleka maji mitaa 400 au zaidi kwenye eneo lenye mwinuko wa wastani?. Sent from my...
2 Reactions
1 Replies
749 Views
Mbunge Kavejuru Felix: Biashara ya Kaboni katika Misitu ya Asili/Kupanda Imechangia kiasi gani kwenye Pato la Taifa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt...
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…