Kimolah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 543
- 709
Habari wanajukwaa, katika kufikiria mbinu na namna ya kuboresha na kufanya ujasiriamali kupitia kilimo na ufugaji nimewaza na kupanga kupata vijana waliopitia mafunzo ya JKT (either kwa mujibu wa au wazalendo), walio na utayari, kwa kuanzia shamba dogo (heka 4 ) lililopo wilaya ya Mvomero, maeneo ya Dakawa, ambapo tutafanya shughuli in practical na tuta-share faida na hasara.
Vijana wawili kwa kuanzia wenye Ari na ujuzi (kiasi) wa ufugaji na kilimo cha mbogamboga, wasio waoga wa mazingira, wawe na umri usiopungua miaka 22, lengo ni kuwa kadiri tutakavyokuwa nao waweze kujitegemea. Jinsia ya kike watapewa kipaumbele
Mawasiliano +255 783030101.