Je! Unahitaji nguruwe wa nyama ??
Je! Unahitaji watoto wa nguruwe wa chin ya miez 3 ??
Kalibu LUNO Pig Farm tupo nao kwa bei sawa na afya na uzito wa nguruwe .
Location ; MPUNGUZI,DODOMA
Follow...
Habari humu?
Nataka kujua kama kuna mdau ama wadau wanao lima Magimbi na viazi vitamu kibiashara, naposema kibiashara namanisha kulima mashamba makubwa na pia kulima muda wote wa mwaka mzima.Hapa...
Baada ya kukaa muda mrefu bila kujihusisha na ufugaji wa aina yoyote, kuacha mbwa mmoja ambae namfuga kwaajili ya ulinzi, mwaka jana, 2024 mwezi wa kumi mwanzoni, niliamua kuanza ufugaji wa...
Julai 2, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Lameck Nchemba, akizungumza na wananchi wa Shirati wilayani Rorya mkoani Mara, ametangaza kuwa serikali inaenda kufuta rasmi sheria ya kutaifisha mifugo katika...
LISTRAM GROUP OF COMPANIES, CASHEW NUT BOARD OF TANZANIA (CBT) NA AGRICULTURAL MARKETING COOPERATIVE SOCIETY (AMCOS) WALIPENI WAKULIMA PESA ZAO, ACHENI DANADANA.
Bado sintofahamu inaendelea...
Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima
Maharage ni zao jamii ya mikunde ambalo hulimwa kwa ajili ya kuliwa kama mboga au futari linaweza kama maharage mabichi au maharage makavu. Pia majani yake...
Ndugu zangu, mwaka jana July 2021 nilinunua mashine ya kusaga na kukoboa na kuifunga Tanga mwezi wa Septemba, 2021.
Mchanganuo wa Vifaa:-
1. Mashine ya Kusaga
Kinu size 75 - 1,200,000
Mortor...
Zao la nazi pia hujulikana kama mti wa uzima kutokana na kuishi kwa muda mrefu. Kilimo cha minazi ni uwekezaji mkubwa kwa sababu mkulima anaweza kurithisha hata kizazi chake.
Kwa bahati mbaya...
Habari jamii forums Kuna changamoto ya kupanda kwa mbolea húsusan hizi za ruzuku na wakulima hatujapata taarifa yoyote.
Je, serikali imeondoa ruzuku katika mbolea za ruzuku bila kutoa taarifa kwa...
"Kwa nyakati mbalimbali, nimepokea changamoto wanazokutana nazo baadhi ya wafugaji kwa mifugo yao kutaifishwa baada ya kukamatwa katika maeneo yaliyohifadhiwa.
Mheshimiwa Spika, wabunge wengi...
Nimekuwa nao lakini ajabu kila mtu akiwaona anashangaa na wengi wananituhumu labda ninao kwa ajiri ya kazi flani za kishirikina ikizingatiwa na kwamba wakihitaji niwauzie siuzi maana mie ni kwa...
VITU TISA
Kutotolesha mayai si kuweka mayai kwenye boksi lenye taa joto, kama ambavyo Wengi wanajaribu kufanya na kusubiri siku 21:
Tengeneza mfumo.
Ni vitu tisa.
Kwa sababu hapa...
Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Njombe, Rebecca Msemwa, amehoji Serikali kuhusu changamoto wanazokumbana nazo wakulima wa maparachichi katika mkoa huo.
Anaeleza kuwa kuwa licha ya Njombe...
Watu wengi wanatamani kufuga samaki lakini wanakosa taarifa sahihi juu ya namna bora ya kufuga samaki, moja kati ya vitu muhimu kwenye ufugaji wa samaki ni kuwa na mbegu bora ya samaki, nikisema...
Tanzania ina zaidi ya mbuzi milioni 24, na idadi hiyo imeendelea kuongezeka kutokana na mahitaji makubwa ya nyama ya mbuzi ndani na nje ya nchi. Tafiti zinaonyesha kuwa ufugaji wa mbuzi ni moja ya...
Yanapatikana kwa wingi nchini Kenya. Naamini na hapa kwetu Tz kuna watu wanaoyalima.
Sina uhakika kama nimeshayala. Lakini leo katika kupitia makala za kilimo, nimekutana na mada inayoihusu...
Habari
Ninafikiria kuhusu kufanya mradi wa ufugaji wa mbuzi, kondoo na ng'ombe wa kienyeji katika shmba kuliko likae idle. Wazo nililonalo ni kuanza na mbuzi jike 15 wa kienyeji na dume moja...