Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

jamani wajasiria mali naitaji kukodi shamba hekari mbili mkoan dar or wilaya zilizo karibu na dar
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wadau katika harakati za kuchunguza biashara ya kuanzisha na haka kamtaji kangu kadogo,nimekutana na wazo la kusafirisha mabanzi kutoka mafinga iringa kupeleka dar au dodoma,nimechagua mikoa hii...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wadau, siku zote naamini watu wengi wamefeli kweny biashara sababu walifanya biashara kisa tu kuna baadhi ya watu ziliwatoa, naamini kila mtu anakua na kitu moyoni mwake na kama ukikifata...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
wadau nimefanikiwa kupata na kumiliki ardhi ya ekali 8. Sasa naomba msaada wenu wa kimawazo namna kuitumia ipasavyo ili niweze kuuepuka umaskini.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Natafuta tenda ya kulisha maofisini na viwandani malipo ni maelewano kwa siku,wiki au mwezi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naitwa Raymond Mpendwa, kijana mjasiriamali wa kitanzania. Ningependa kuitangaza Wapendwa Massage Center kwenye Blog yako. Sisi Wapendwa ni muunganiko wa vijana wajasiriamali wa kitanzania ambao...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
wadau natafuta sehemu ya kuweka car wash ,ninazo machine tayari natafuta tu eneo ambalo lina maji ya kutoka na lenye biashara km kuna mtu an idea yoyote anieleweshe ndugu zangu.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Naombeni wajasiriamali waliopata japo kwa nadharia kuhusu utekelezaji wa Nine-seeded holes. Je unatakiwa usingatie yapi? Shukrani
0 Reactions
1 Replies
975 Views
WanaJF, Majuzi nilikuwa nawasikiliza wasomi wa SUA walioenda Uturuki na kurudi na taaluma nzuri hoticulture. Ktk maelezo yao nilifurahi JInsi ambavyo unaweza kulima hekta moja (eka 2 na nusu) na...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wandugu Mimi ni mtaalamu wa mambo mbalimbali ninatafuta tenda za kupamba katika kumbi mbalimbali za sherehe, au shughulli kama vile mikutanoni, misibani, na shughuli yoyote, ni mtaalamu wa...
2 Reactions
5 Replies
7K Views
umeme wa solar unasaidia sana maeneo ambayo umeme haujafika. Na pia kwa mjini kwa tatizo la kukatika umeme solar ni suluhisho. Kwa wale wanaohitaji huduma hii ya solar kwa mkopo tunawakaribisha...
2 Reactions
25 Replies
12K Views
Habari wana jukwaa, Tafadhari naomba kwa anayejua wapi vinapatikana vifaa tajwa, naomba anifaamishe, niko Dar. Natanguliza shukrani. Wakubwa, samahani title imekosewa kidogo, hapo kwenye...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Jamani wataalamu wa kufikiri ninataka kununua bajajy lakini sijui ubovu wake na matatizo ambayo zinazo.nataka kuinunua kwa ajili ya biashara ya abiria. Naomba ushauri wa aina zake na ubovu wake...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wakazi wa Dsm naomba mnifahahamishe nitapata wapi laini ya tigo pesa ya uwakala
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Helo peoplez! Poleni na shughuli za kila siku. Naomba msaada wa majina ya vitabu vizuri vyenye kuhamasisha kuhusiana na ujasiriamali ambavyo naweza kupata online. Mfano kama: Rich Dad Poor Dad...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
kwa yeyote anaehitaji
6 Reactions
11 Replies
4K Views
Wadau mnao fahamu please, naomba kujua kama umeanzisha blog yako na unaitumia kwa mambo yako, je unaweza kuiendesha kibiashara pia, YAANI richa ya mambo yako je unawezaje kuitumia kujipatia japo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina taka mtu aneweza kunifahamishi jinsi majib ya maswali ninayokuwa nime jibiwa niweze kuwa nina yapata ibox kwa urahisi!!!!!!
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Wanajf! natumaini nyote mu wazima mkiendelea vyema kulijenga taifa letu. nauliza soko la madini ya ruby kwa dar na kama unafahamu bei kwa point na mambo mengineyo, tafadhali naomba nijulishe...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
N'gombe maziwa wa kisasa 5 wanauzwa. Bei Tsh700,00/= mpaka Tsh.950,000/= Kwa anayehitaji tuwasiliane. Kilimo kwanza!
0 Reactions
13 Replies
18K Views
Back
Top Bottom