ADVICE:nina ml 6.5 biashara gani nzuri itakayonizungushi pesa yangu na faida nzuri

kay 18

kay 18

Senior Member
Joined
Jul 25, 2012
Messages
148
Likes
0
Points
0
kay 18

kay 18

Senior Member
Joined Jul 25, 2012
148 0 0
hi friends,nina kiasi cha sh million 6.5 ninataka kufanya biashara bt cjajua ni biasha gani nifanye,bt kwa upande mwingene na kwautafiti niliofanya nilitaka kununua bajaji izunguke mjini,so wenye uzoefu juu ya biashara naombeni ushauri wenu,na wenye biashara ya bajaji ushauri wenu ni muhimu pia,
 
CHAI CHUNGU

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
7,138
Likes
129
Points
160
Age
39
CHAI CHUNGU

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2012
7,138 129 160
sijakuelewa mkuu,kuna sembe za aina mbili siku hizi sijui unamaanisha sembe ipi?
Hahahahahaha!
Atakua anamaanisha sembe 'NGWEA' lol!
 
CHAI CHUNGU

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
7,138
Likes
129
Points
160
Age
39
CHAI CHUNGU

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2012
7,138 129 160
dah!hiyo sembe ngweir wala ctaki hata kuisikia,hujasikia dada yetu ananyongwa ijumaa misri,
Mtz?nini problems?alidakwa na sembe?
 
M

MLERAI

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Messages
672
Likes
49
Points
45
M

MLERAI

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2012
672 49 45
wakati unafikiria biashara ya kufanya hiyo laki tano tafuta kibanda ufungue duka la kuuza viroba sigara uogoro(tumbaku) na vocha za bei ya chini ya elfu moja
 
L

Lusoli

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Messages
259
Likes
1
Points
35
Age
36
L

Lusoli

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2013
259 1 35
Ungeongea na sehem uliko,kuna baadhi ya mikoa bajaji zinalipa sana.
 
ndendi

ndendi

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Messages
628
Likes
26
Points
45
Age
40
ndendi

ndendi

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2012
628 26 45
sorry upo mkoa gani?si mbaya nikajua na wilaya.
 
kwamtoro

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Messages
4,858
Likes
859
Points
280
kwamtoro

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2010
4,858 859 280
Ml 6.5 nyingi sana.
Nunua M/bike 3 fekon kwa 1,800,000/- kila moja ikiwa full bima kubwa. Kwa zote tatu utanunua kwa 5,400,000/-
Itabaki 1,100,000/-
Pikipiki kwa week esabu yake ni 45,000/- kwa mwezi 180,000/-
Kwa tatu zote ni 540,000/-
Chukua iliyobaki 1,100,000/- + 540,000/- jamla utapata 1,640,000/-
Fungua kwa Grocery cha kukuweka busy uanze furahia maisha.
 
A

Alex Katto

Senior Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
155
Likes
1
Points
0
Age
26
A

Alex Katto

Senior Member
Joined Mar 3, 2013
155 1 0
Mtu yupo serious wengine wanaleta utani!
 
kay 18

kay 18

Senior Member
Joined
Jul 25, 2012
Messages
148
Likes
0
Points
0
kay 18

kay 18

Senior Member
Joined Jul 25, 2012
148 0 0
wakati unafikiria biashara ya kufanya hiyo laki tano tafuta kibanda ufungue duka la kuuza viroba sigara uogoro(tumbaku) na vocha za bei ya chini ya elfu moja
nashukur sana mkuu ngoja tuangalie na ushaur mwengena,bt huo nimeupenda,
 
kay 18

kay 18

Senior Member
Joined
Jul 25, 2012
Messages
148
Likes
0
Points
0
kay 18

kay 18

Senior Member
Joined Jul 25, 2012
148 0 0
Ml 6.5 nyingi sana.
Nunua M/bike 3 fekon kwa 1,800,000/- kila moja ikiwa full bima kubwa. Kwa zote tatu utanunua kwa 5,400,000/-
Itabaki 1,100,000/-
Pikipiki kwa week esabu yake ni 45,000/- kwa mwezi 180,000/-
Kwa tatu zote ni 540,000/-
Chukua iliyobaki 1,100,000/- + 540,000/- jamla utapata 1,640,000/-
Fungua kwa Grocery cha kukuweka busy uanze furahia maisha.
dah!nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri sana mkuu kwa hakika nitaufanyia kazi asilimia 95
 
M

mollel arusha

Member
Joined
Apr 26, 2013
Messages
19
Likes
0
Points
0
M

mollel arusha

Member
Joined Apr 26, 2013
19 0 0
hi friends,nina kiasi cha sh million 6.5 ninataka kufanya biashara bt cjajua ni biasha gani nifanye,bt kwa upande mwingene na kwautafiti niliofanya nilitaka kununua bajaji izunguke mjini,so wenye uzoefu juu ya biashara naombeni ushauri wenu,na wenye biashara ya bajaji ushauri wenu ni muhimu pia,
Kwa kweli kama uko serious hiyo pesa ni mtaji mzuri. Cha kufanya ni kwamba lazima kwanza uwe unapendelea biashara fulani halafu tafuta ushauri juu ya kile unachokipendelea maana siokila biashara anawezakufanya mtu
 
CHASHA FARMING

CHASHA FARMING

Verified Member
Joined
Jun 4, 2011
Messages
6,429
Likes
2,844
Points
280
CHASHA FARMING

CHASHA FARMING

Verified Member
Joined Jun 4, 2011
6,429 2,844 280
hi friends,nina kiasi cha sh million 6.5 ninataka kufanya biashara bt cjajua ni biasha gani nifanye,bt kwa upande mwingene na kwautafiti niliofanya nilitaka kununua bajaji izunguke mjini,so wenye uzoefu juu ya biashara naombeni ushauri wenu,na wenye biashara ya bajaji ushauri wenu ni muhimu pia,
Mkuu huwa sipendi Kuchangia Thread za aina hii, ila nimejikuta inabidi kuchangia,

Mkuu Biashara si lele mama, hilo tambua, na pili biashara maana yake ni kwa ajili ya Feature yako ya baadae, so haihitaji mzaha au kujaribu au kufanya sijui nini,

Unapo taka kuanzisha biashara kaa chini na njoo na wazo ambalo nina uhakika mawazo ya biashara ni mengi sana, na wazo bora la biashara ni lile unalo ume kaa na kupata wewe mwenyewe,( We ndo mwenye best business Idea)

Ukishindwa kukaa chini kuumiza kichwa kupata wazo bora unalo penda basi hata biashara kuendesha hutaweza belive me, mkuu, unaweza rudu kutuuliza sasa niuze vipi,

Na msingi wa biashara ni wazo bora, na biahara huan kufa au kunawili kwenye wazo

Inauma sana sisi Watnzania kupoteza muda kuanzisha biashara na baada ya mwaka au mwezi unakuta hiyo biashara kaacha karukia nyingine tena kaacha karukia nyingine,

So unapo kuwa umekuja na either wazo la bishara jiulize mara mbilimbili

1. Unataka kuazisha biashara ya Bajiji au Transport- Jiulize je unaplan ya kufika wapi na hii biashara, je una mpango baadae upanue ununue Hice, baadae Costa, na mpaka kuja kumilikia tren zako mwenye one day? Au ni zima mota? so jilize sana, hain maana kupoteza muda kufanya biashra na baada ya miwezi mitano umeacha uko kwingine

2. Unataka Kufuga-Je ndoto zako ni kufika wapi n ufugaji? Unataka kuja kuwa nani katika swala zima la Kufuga hapa Tanzania au kwnye mkoa wako?

3. Hoteli- Jiulize baada ya muda fulani utakuwa wapi? Unataka baada ya miaka 15 uwe na migahawa East and Centre Africa? au nini ndoto zako

4. Kilimo- Unataka kulima, Mahindi au Matunda- Je nini plan zako nakilimo cha Mahindi? Unataka kufikia mahali umiliki Kiwanda chako cha kuprocess? au ndo unataka kulima upate pesa then ujenge nyumba za kupangisha na inakuwa ndo mwisho wa story?

SO KWA KILA AINA YA BIASHARA UNAYO TAKA KUANZISHA LEO HII JIULIZE MASWAL MENGI SANA KABLA YA KUANZA, NA UNAPO INGIA HAKIKISHA SAFARI YAKO INAAZIA HAPO NA HUTARDI NYUMA, NA WTU HAWATAKUONA NDANI YA MWAKA MMOJA USHA FANYA BIASHAR 10 TOFAUTI NA KUZIACHA ZOTE,

Unaweza anza trasnport business na Guta na ukja kumiki Kmapuni kubwa kabisa africa kwa maswala ya kusafirisha mizigo, Ila ndo kama hivyo tunakosa Maono
,
 
bornagain

bornagain

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
3,385
Likes
32
Points
145
bornagain

bornagain

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
3,385 32 145
Mkuu huwa sipendi Kuchangia Thread za aina hii, ila nimejikuta inabidi kuchangia,

Mkuu Bashara si lele mama, hilo tambua, na pili biashara maana yake ni kwa ajili ya Feature yako ya baadae, so haihitaji mzaha au kujaribu au kufanya sijui nini,

Unapo taka kuanzisha biashar kaa chini na njoo na wazo ambalo nina uhakika mawazo ya biashara hata ni mengi sana, na wazo bor la biashara ni lile unalo kaa na kupata wewe mwenyewe,

Ukishindwa kukaa chini kuumiza kichwa kupata wazo bora unalo penda basi hata biashara kuendesha hutaweza belive me, mkuu, unaweza rudu kutuuliza sasa niuze vipi,

Inauma sana sisi Watnzania kupoteza muda kuanzishabiashara na baasa ya mwaka au mwezi unakuta hiyo biashara kaacha karukia nyingine tena kaacha karukia nyingine,

So unapo kuwa umekuja na either wazo la bishara jiulize mara mbilimbili

1. Unataka kuazisha biashara ya Bajiji au Transport- Jiulize je unaplan ya kufika wapi na hii biashara, je una mpango baadae upanue ununue Hice, baadae Costa, na mpaka kuja kumilikia tren zako mwenye one day? Au ni zima mota? so jilize sana, hain maana kupoteza muda kufanya biashra na baada ya miwezi mitano umeacha uko kwingine

2. Unataka Kufuga-Je ndoto zako ni kufika wapi n ufugaji? Unataka kuja kuwa nani katika swala zima la Kufuga hapa Tanzania au kwnye mkoa wako?

3. Hoteli- Jiulize baada ya muda fulani utakuwa wapi? Unataka baada ya miaka 15 uwe na migahawa East and Centre Africa? au nini ndoto zako

4. Kilimo- Unataka kulima, Mahindi au Matunda- Je nini plan zako nakilimo cha Mahindi? Unataka kufikia mahali umiliki Kiwanda chako cha kuprocess? au ndo unataka kulima upate pesa then ujenge nyumba za kupangish na inakuwa ndo mwisho wa story?

SO KWA KILA AINA YA BIASHARA UNAYO TAKA KUANZISHA LEO HII JIULIZE MASWAL MENGI SANA KABLA YA KUANZA, NA UNAPO INGIA HAKIKISHA SAFARI YAKO INAAZIA HAPO NA HUTARDI NYUMA, NA WTU HAWATAKUONA NDANI YA MWAKA MMOJA USHA FANYA BIASHAR 10 TOFAUTI NA KUZIACHA ZOTE,

Unawza anza trasnport business na Guta na ukja kumiki Kmapuni kubwa kabisa africa kwa maswala ya kusafirisha mizigo, Ila ndo kama hivyo tunakosa Maono
,
Uko vizuri sana, sema ni vile tu sisi waTanzania tumezoea kupeana vyeo eti afisa mipango wa sijui wilaya ambae hana hata mipango kichwani.Naamini wewe ndugu yangu ukipewa nafasi ya kuwafundisha watu ujasiliamari watafika mbali sana
 
Forum statistics

Threads 1,273,872
Members 490,535
Posts 30,494,155