Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Incubators ni Kifaa kinacho tumika kuangulia mayai, na hufanya kazi ambayo kuku hufanya, Ila tofauti na Kuku ambaye hutumia bilogocal katika kuatamia Mayai, Incubators mara Ntingi huhitaji akili...
2 Reactions
1 Replies
5K Views
wakuu wana Board poleni kwa majukumu mazito mlionayo.Hoja yangu ni kutaka kujua ufanisi wa mashine ya selcom na hudama zake zote ukilinganishi na ile ya Maxcom,mimi ni mtumiaji wa mashine ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
  • Closed
Naomba kujuzwa kwa hapa dar machinjio yako wap naitaj uza nguruwe wangu
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wadau tushirikiane kukumbushana maisha sio kuajiriwa peke yake. Vijana wengi wamedhani kuwa maisha pekee ya kumwezesha kushi ni kuajiriwa kwenye makampuni au serikali ndipo maisha yaweze kusonga...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Samahani kwa usumbufu wajasiriamali wenzangu ila Gunia la Mpunga linatoa kilo ngapi za mchele??
0 Reactions
7 Replies
17K Views
Wana JF, Natafuta kampuni inayo print PVC lables au stickers. PVC lables hizi zinabandikwa kwenye mifuko au chupa za kufungi bidhaa mbali mbali. Naweka mfano wa PVC lables hapa chini, asanteni sana.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wajasiliamali wenzangu naomba kujulishwa kama kuna association ya mazao hayo tajwa. Halafu kama kuna mtu mwenye uelewa wa masoko ya nje. Procedure gani za kufuata kuyapata.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakubwa heshima mbele, Naomba kujua mahali wanapokamua alizet hapa dar. Nafikiria kulima zao hili ukanda huu wa pwani lakini sijajipanga kununua mashine ya kukamua, hivyo ningenufaika kama mtu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wapedwa naomba anayejua soko la asali anijulishe nipo tabora
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu kwa wale wazoefu wa hii huduma ya mpesa na tigo pesa na mpango wa kujiajili je inagharama gan kufungua kwa zote nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu, nimekuwa nikivutiwa sana na ushauri mnaotoa juu ya mambo mbalimbali. Ushauri unaotolewa huwa unanipa moyo sana. Mimi ni muajiliwa kwa miaka 13 sasa katika sekta binasfi...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
NDUGU ZANGU KUNA WATU WAPO MAKAZINI NAWANGEPENDA SANA KUJISHUGHULISHA NA SHUGHULI MBALIMBALI ILI KUJIONGEZEA KIPATO LAKINI WANAKOSA MUDA NA WASIMAMIZI. KUNA WATU WANA FEDHA LAKINI WANAKUMBANA NA...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndugu wana JF, Heshima Kwanza. Baada ya utafiti wa mudu mrefu, imefahamika kua tatiza kubwa la wakulima ambao ndio asilimia kubwa ya wananchi wa Tanzania, wenye kipato cha chini waishio vijijini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu mimi ni mkazi wa Mwanza, kijana wa elimu ya chuo kikuu ktk masomo ya biashara. Kwa sasa nakaa tu sina ajira ila nina mtaji wa sh milioni 2. Nimewaza nianze kufanyia nini nimeshndwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Jamani wana jamii mimi nina ujuzi wa kutengeneza sabuni ainazote na shampoo,mishumaa na vingine kwa sasa nataka kujikita na sabuni na shampoo,sasa nipo busy na kazi nyingine nahitaji mtu aliye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF, Naulizia wapi vinapatikana vifaa vya kuvunia asali, yaani mavazi maalum ya kuvaa wakati wa kuvina asali na vyombo vya kuwekea na kuhifadhia asali. Wapi nitapata vifaa hivyo na bei zake...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Ndugu zetu Watanzania mliopo Botswana,could you please Share your experience,kuhusu mambo ya business?hasa ni biashara zipi zinafaa kati ya nchi hizi mbili!naomba mawazo yenu wadau
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Heshima yenu wanaJF, Nina wazo la kufunga kuku, kwa nia ya kujiongezea kipato naomba ushauri wa namna ya kupata mtu au mahali ninapoweza kupata ushauri wa :- kuku gani wa kufuga (wa kisasa au wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina shamba la ukubwa wa hekari 4 katika kijiji cha Vikawe karibu na Mapinga Bagamoyo ambalo nimelisajili kwa hekari mbili mbili (yaani lina hati mbili), ambalo nataka kuanzisha mradi wa ufugaji...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Wana jf,nipo chalinze,nina kiasi cha Mil.3,ninataka kuweka duka hapa,ila sina uzoefu na biashara hii.LAKINI pia nimewaza kuwa pengine kiasi hicho nifungue saloon ya kiume au kike.USHAUR TAFADHALI
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Back
Top Bottom