kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,676
Mbeya. Baadhi ya wanawake wajasiriamali wadogo mkoani Mbeya, wameomba Serikali na asasi za fedha kuwapatia elimu ya mikopo ili kukopa na kuendeleza miradi.
Wakizungumza mjini hapa jana, walisema wamekuwa na changamoto nyingi wanapokuwa wamechukua mikopo kutokana na baadhi yao kutumia ovyo, tofauti na matarajio huku wakikimbia makazi.
Tunaomba asasi za fedha kutupatia elimu wajasiriamali, ili tunapochukua mikopo tutumie kwa malengo yaliyokusudiwa, alisema Atupele Simon
CHANZO: MWANANCHI