Kwema wakuu naomba kupewa ujuzi wa kuandaa party event kwa mfano kumkodi msanii kwa ajili ya show ningeomba kupewa mchanganuo mzuri kuanzia kukodi ukumbi mpaka navoweza kupata faida thanks in advance
Sisi ni wafugaji wa kware wa mayai ambao hutaga wiki sita tu baada ya kuanguliwa na huendelea kutaga kila siku kwa miezi 30. Kwa mwaka hutaga wastani wa mayai 280 hadi 300. Tunauza vifaranga...
Jamani nimepata wazo la biashara ya kutengeneza mbege na kuuza hapa morogoro mjini, ningependa kuomba mwenye kujua changamoto zake na hata jinsi ya kusajili biashara hio, shukrani kwenu.
Nawapenda sana hawa viumbe,natamani nifuge angalau mmoja "as a pet",ni wanyama rafiki sana tofauti na watu wengi wanavyofikiri,kinachohitajika tu kuzifahamu tabia zao tu,ngozi ya mamba wa miaka...
Najiuliza endapo ukame ulio ikumba Califonia ukitokea huku kwetu itakuwaje? Make kuna Ukame wa kufa mtu ambao haujawahi tokea Calfonia na kila kitu kimesimama na hakuna kinacho fanyika
Kwa...
Habari za kazi wana JF. Mimi nina kuku wa kisasa takribani 300. Ni wale wekundu na ni wa mayai. Tangu mwezi huu wa sita uanze, kuku hao wameacha kutaga kabisa. Ni leo tu nimeokota yai moja na...
Ninafanya biashara ya kusaga na kukoboa Nafaka, Sembe Unga safi. Naam ofisi zangu zipo Mbagala Sabasaba. Nahitaji kwa haraka zaidi napatikana katika namba hizo hapo: 0657 740 797 |...
Wana JF kutokana na ukali wa maisha nimeamua kwa asilimia zote nijikite katika swala zima la kilimo cha matikiti maji.........ndugu zangu wapendwa naomba msaada wapi panafaa kwa kilimo hicho...
UV Sterilize inatumia ku disinfect incubator incubator yako bila kuhitajika kuiizima au ku swtich off, nililetewa 10 hivyo kwa atakaye hitaji kuna 5 za ziada, hii inasaidia sana kuongeza...
Guys tunatengeneza biscut nzuri na crunch, zina taste na utamu kama wa eat sum more, nahitaji mtu wa kushirikiana nae kwa masoko, tushirikiane, au nimuajiri then tupeane perfomance target. Very...
Habari wana Jf naomba nielekezwe vipomo vya ujenzi wa banda la kware kwa upana na urefu na idad ya kware nimevutiwa wa ufugaj huo hasa banda la gharofa kwan linasaidia kupunguza ukubwa wa eneo...
Habari,
Kwa wale waliowahi kutumia mashine za kutotolesha vifaranga.
Nimejaribu zaidi ya mara tatu kutotolesha vifaranga kwa kutumia mashine lakini matokeo yamekuwa ni asilimia 25 tu ya idadi ya...
Habari zenu wanajamvi. Jamani mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 na nimebahatika kuajiliwa serikalini mshahara wangu sio chini ya laki 5 na wala haizidi laki 7. Mzee wangu alipata kununua...
Jamani kwenye gazeti la SUNDAYNEWS MARCH 8, 2015 limeandika habari hizo kuhusiana na mayai ya kwale kwamba si tiba kama tulivyosikia wale wajuzi wa suala hili tafadhali tujuzane.
Nilikuwa naomba ushauri wanajamii.
Hawa kware unaweza kuwafuga kama kuku namaanisha mabanda yao maana nimeambiwa wanaruka kama ndege je naweza kuwafuga huria yaani banda na wakawawanatoka nje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.