Kitabu kimetoka: Jifunze Ufugaji na Biashara ya Kware

JasonJamestz

Member
May 14, 2014
9
3
photo (2).JPG
Kitabu (Pocketbook) cha Jinsi ya Ufugaji na Kufanya biashara ya Kwale kipo sokoni sasa.

Yaliyomo ni:


Kwale na aina zake, Ufafanuzi wa Japanese Quail,
Utagaji wa Mayai ya Kwale,
Ufafanuzi wa utotoleshaji kupitia incubators,
Jinsi ya kuwahudumia vifaranga wa siku moja hadi wakiwa wakubwa,
Jinsi ya kutambua jinsia ya kwale, Ukweli kuhusu magonjwa na kwale,
Ufafanuzi juu ya Mabanda ya Kwale, Kware na Mayai kama Tiba,
Dozi za Mayai kwa Tiba, Ukweli kuhusu Chorestral na mayai ya kwale,
Jinsi ya Kutumia mayai (ulaji wake), Jinsi ya kufanya biashara ya mayai ya kware,
Njia za kutafuta wateja na Utengenezaji wa Mbolea ya kware kibiashara.


Wahi sasa kitabu Kina page 30.Bei ni elfu 15 tu. Wasiliana nasi kwa 0785402424



Bidhaa hiii imetolewa na KwareTanzania. http://kwaretanzania.blogspot.com/
 

Attachments

  • photo (2).JPG
    photo (2).JPG
    52.7 KB · Views: 190
Back
Top Bottom