Ujasiriamali: Nilime Mazao gani kwenye shamba hili?

asawere

New Member
Feb 13, 2012
3
1
Wakuu habari zenu? Natumaini wote mu wazima wa afya....MImi nilikuwa naomba ushuri wenu, nina eneo kisarawe lenye ukubwa wa takribani eka kumi sasa kwa ukanda ule wa mkoa wa pwani mnaweza kunishauri nilime mazao gani ambayo yaweza kukubali na kunipa faida?Vilevile naweza fuga mifugo gani maeneo hayo? Coz sehem yenyewe inashida ya maji kidogo

NAtanguliza shukrani zangu za dhati:scared:
 
Kuku wa Kienyeji, mbuzi, na Kondoo! Kwa hii aina ya mifugo wanaweza survive kwenye shortage ya maji. Kilimo hapo labda mihogo au mananasi
 
Back
Top Bottom