Fursa: Ongeza kipato (Madini ya ukweli)

FLAVOR

Senior Member
Jun 13, 2012
138
49
Kwa kweli wadau mimi nilikuwa mbishi sana kuhusu suala la kujiajiri kupitia hii kampuni inaitwa TREVO baadhi mmesikia ama mlishajiunga zamani, mshikaji yeye aliingia siku nyingiiiii, kuanzia mwezi jana ameanza kuingiza almost 2.5 kwa mwezi ....nimeshangaaa, nilikuwa siamini naona matapeli. Jana nimejiunga.

Sasa najua kuna watu wengi wanataka kunufaika kwa kujiajiri, kufanya kazi huku wanafanya biashara ama vyote vitatu.

Kuna fursa ya ukweli, wengine wanaita madini, hii kampuni ni mpyaaa. Na hapa JF wako majembe wa kujiajiri.

Njoo Alduwah Tower, iliyopo pale Morocco,Kinondoni baada ya Hospitali ya AAR kama unaelekea Mwenge. Ghorofa ya Pili kuanzia saa nane hadi saa kumi siku ya jumamosi. Usikilize tu hii fursa na kuamua kabla hujashangaa kama mimi.

Fursa Zipo ni sisi tu kuzipokea na kuzifanyia kazi tupige mahela, kwa maelezo nipigie 0683157704 ama ni whatsapp, email yangu ni eattinda@gmail.com kama utataka details zaidi. Sababu huwezi ingia bila referee tumia number 4601450. Ukifika mapokezi.

JAMANI WENGI WANAFIKIRIA JAMAA NI MA FREEMASON SABABU YA WATU KUFANIKIWA, HAPANA...NJOO USIKILIZE NA KUJIONEA

Kha!!

MADINI...MADINI...MADINI
 

Attachments

  • mapesa ya trevo.jpg
    mapesa ya trevo.jpg
    28.5 KB · Views: 230
Hao matapeli tu, hawana lolote. Hao si ndo wale wanauza vichupa vya sijui virutubisho gani kwa shilingi laki tatu?
 
Back
Top Bottom