Biashara ya Sigara

aliso

Member
Jan 16, 2013
32
2
ndugu Marafiki. Nipo katika wilaya moja huku Kanda ya ziwa. Katika kuhangaikia maisha nimeona ni vyema nikajiingiza katika biashara japo mimi mfanyakazi. Kuna mtu alinipa wazo la kufanya biashara ya jumla ya kuuza sigara. Ikibidi niwe wakala chini ya kampuni la sigara. naomba ushauri ndugu zangu. Biashara hii ni nzuri. Na je nikitaka kuwa wakala taratibu zikoje. Naombeni sana msaada wenu.
 
Back
Top Bottom