KITABU: Greenhouse farming nyumbani kwako

LIBRARY

JF-Expert Member
Aug 28, 2012
231
234
GREENHOUSE FARMING IN TANZANIA

Greenhouse ni nyumba ya kudumu ilyo zungushiwa kioo ama plastic ambzao humuwezesha mkulima kufanya shughuli zake za kilimo akiwa ndani ya chumba ambacho kina joto na unyevunyevu sahihi.

Mkulima pindi atumiapo green house atweza kulima matunda pamoja na mbogmboga kama akiwa kwenye shamba la kawaida tu ambapo, ila ndani ya greenhouse kuna mazingira rafiki kwa mkulima.

Kitabu hichi kidogo kimeandikwa kujaribu kuelezea kwa ufupi na huku kikitumia picha kujaribu kukufumbua zaidi juu ya njia mpya nay a kisasa kwa ajili ya kilimo.

Kwa Tazania kilimo hichi ni maarufu kule maeneo ya Arusha na vitongojo vyake ambapo wao hutumia njia hii kulima maua ambayo baadae husafirishwa ndani ya nchi.

Shukrani kwa uvumbuzi unaoletwa na technologia kwa kuleta material mpya aina ya PRC (Polypropylene Random Copolymer Type 3). Hizi ni bomba laini kukunjika ila ni imara na zinahimili mazingira ya Afrika.
Utahitaji.
  • 1" PRC Pipe : Bomba nne

  • 1" Corner Elbow Connectors : 4 zikiwa za njia 3
  • 1" Adapters

  • Gundi ya PRC (Primer and PRC Cement)

  • Mkasi

  • Zipu ya kufungia

  • Msumeno wa kukatia bomba

  • Mfuko wa plastic mkubwa
Pata kitabu chako hapa.
View attachment GREENHOUSE-GUIDE-BOOK1.pdf
 
Material ya kutengenezea green house ni wapi yanapatikana au ndo mpaka nje ya nchi?
 
Back
Top Bottom