Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Mwenye uzoefu na biashara ya n'gombe anijuze Nina n'gombe 15 nataka kuja kuuza pugu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tafadhali kwa yeyote ambaye anajua location ya BBone electronics nimekutana nalo kwenye online shoping website moja but nataka siku moja nilitembelee hili duka, Thanks.
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Waungwana mwenye Kware weng majike na anashida ya madume kwa ajili ya mbegu tubadilishane maana ninamadume meng had majike hawana raha hapatuli bandan, hata10 nitawafata kokote ulipo dar hii
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani naomba kuulzia kama kuna fundi welding humu ndani au mtu yeyote anaye mjua fudni welding anaye tengenza mabanda ya biashara yale huwa ni shilingi ngapi na yana ukubwa gani kama kuna mtu...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Dear Friends in Arusha Jinsi kuanzisha biashara bila kuwa na mtaji mkubwa kwa muda wako wa ziada. Tar 1. Mei Mosi, tunawakaribisha kwenye oriflame mega event itakayofanyika New Safari Hotel...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Franchising FAQs 1. I'm interested in owning my own SUBWAY® restaurant. How do I get started...
1 Reactions
0 Replies
942 Views
Wakubwa naomba ushauri, chuoni nasoma na nina fedha sh laki saba hivyo nataka nifanye nini ili nipate faida bila kuathiri masomo yangu
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Dear Friends in Arusha Jinsi kuanzisha biashara bila kuwa na mtaji mkubwa kwa muda wako wa ziada. Tar 1. Mei Mosi, tunawakaribisha kwenye oriflame mega event itakayofanyika New Safari Hotel...
0 Reactions
1 Replies
787 Views
  • Redirect
Wadau naomba kujuzwa hasa kwa wale wenye uelewa juu ya zao la nyanya,nilikua napenda kujua changamoto kuu za kilimo cha nyanya kipindi cha kiangazi kama hiki!na je uhakika wa soko la nyanya za...
0 Reactions
Replies
Views
Nataka kuanza kufuga ng'ombe wa maziwa. Nifahamishwe Aina bora ni ipi.. Matunzo yake na ngombe moja anaetoa Lita 20_30 kwa siku. Pia naweza Kupata wap
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hivi najiulizaga Sana kwa nn watu wanapo staafu katika organization mbali mbali asa Hupendelea kufanya shughuli za ufugajii kwani hakuna mbinu nyingine ya kufanya mbka hiyoo,
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Anayeufahamu huu ugonjwa pamoja na tiba tusaidiane. Uangalie kwenye picha hii Natanguliza shukrani.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
nataka kujikwamua na huu umasikini, sitaki kuendelea kuilalamikia serikali kwani naamini mabadiliko huletwa na mimi mwenyewe. :>> Nina eneo huko mlandizi sehemu inaitwa ngeta, nataka nianze...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
wana jamvi, kuna mtu anataka ku invest tanzania lakini hataki invest ndogo ndogo walau anataka sehemu ya kuwekeza ela isiyo pungua tshs 1 billion. Je sehemu gani anaweza wekeza na akawa sure...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Je? Ulishawahi kufikiria au kuwa na mawazo ya kufanya biashara ya microfinance(kushughulika na utoaji wa mikopo) ila hauna utaalamu huo, mtaji wa kutosha au muda wa kufuatilia biashara hiyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WAKUU MIMI NINATAFUTA WATU WA 8 TUWEZI KUSHIRIKIANA KWENYE KUSINDIKA MAZAO NA KILIMO CHA MAHINDI, MAHARGE, ALIZETI, MBAZI NA UFUTA . WATU HAO (8) TUTACHANGA MTAJI WA KUNUNUWA TRECTA JIPYA...
6 Reactions
80 Replies
20K Views
Jaman kama kuna anayeuza used forklift la tani 7 au 8 naomba awasiliane na 0785101044, nahitaji
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Hi Wadau, aina gani yamatunda huchukua muda mfupi zaidi, sio kama maembe ambayo ni zaidi ya miaka mi3.. Thanks
0 Reactions
11 Replies
4K Views
napenda kujua kutoka KWA serikali na pia wenzangu humu ndani, nakubali kuwa ilianzishwa programme ya kufundisha vijana Ujasiriamali na kutakiwa kuunda vikundi ili tukopesheke. swali langu NI je...
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Wakuu Habari? Samahani naomba kujua bei ya kilo moja ya Korosho kwa sasa na zinapatikana wapi? na je mtu binafisi anaweza pata? au ndo mpaka kwenye vyama vya ushirika. ni zilizo banguliwa lakini.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom