Kuku wakubwa kenbro wanauzwa

Mkulima wa Kuku

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
1,270
533
DSCN8759.JPG DSCN8758.JPG Nauza kuku Unaowaona pichani, ni wakubwa wazuri hawana tatizo lolote. Kuna wanaotaga kwa sasa na wanaotarajiwa kuanza kutaga muda wowote kuanzia sasa. Nauza na majogoo wote. Atakayenunua kuanzia 20 kutakuwa na punguzo maalumu. Chanjo zote wamepata na wako kwenye afya nzuri. Niko Dar Es Salaam na anayependa tu anaweza kuwasiliana nami kwa 07 DSCN8756.JPG 67802075 DSCN8756.JPG . Sababu ya kuuza ni kuwa nabadili mradi. DSCN8758.JPG
Karibuni nyote.
 

Attachments

  • DSCN8765.JPG
    DSCN8765.JPG
    1.4 MB · Views: 141

Similar Discussions

Back
Top Bottom